Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tangu mwanzo nilipinga sana ujio wa Jose lkn wapo waliomshangilia ungefikiri hawajui nini angefanya.

Identity ya Man Utd imepotea kabisa yaani uwanja wa nyumbani possession mnazidiwa,shoot on target mnazidiwa yaani kila kitu mnazidiwa tena isitoshe team imekuwa predictable kuliko wakati wore.

It's high time decisions maker walaliona hili mapema.Majuzi Westharm pamoja na kufungwa lkn walicheza mpira leo Jose anakuja mbinu za kijinga
 
Tumecheza mpira mbovu sana....
bf353b176ffc76a1d329daadd1aa55c4.jpg
 
Tangu mwanzo nilipinga sana ujio wa Jose lkn wapo waliomshangilia ungefikiri hawajui nini angefanya.

Identity ya Man Utd imepotea kabisa yaani uwanja wa nyumbani possession mnazidiwa,shoot on target mnazidiwa yaani kila kitu mnazidiwa tena isitoshe team imekuwa predictable kuliko wakati wore.

It's high time decisions maker walaliona hili mapema.Majuzi Westharm pamoja na kufungwa lkn walicheza mpira leo Jose anakuja mbinu za kijinga

Chifu, ingawa nami pia siyo shabiki wa José, lakini katika hili sikubaliani nawe.

Ndiyo, tactics leo hazikuwa sawa. Lakini huwezi kum-dismiss José kwa stats za leo. United ya SAF ilipigwa 6-1 na City hapo hapo OT. Unakumbuka stats zake? Unakumbuka stats za Barća vs. United UCL Finals?

Binafsi, naridhika sana na anachokifanya José. City have the best form in EPL, kama siyo kwenye ligi zote za Ulaya kwa sasa. Kufungwa na City, kunauma sana, lakini siwezi kusikitika sana pia.

Pengo la Pogba naona hujaliongelea! Yeye ndiye best United player, ukimtoa DDG. Kumkosa kwenye game dhidi ya on-form City siyo jambo dogo.

Ligi bado. City can’t sustain hii pace mpaka mwisho. Pace ita dip pale mechi zitakapoanza kujazana kwenye mashindano anayoshiriki.

So, keep it positive and optimistic bruv.

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
 
Kompany na Otamendi weupe sana. Timu yao inashambulia sana hawapati kashkash. Mou analijua hilo ndio maana kawaweka Rashford na Martial. Watakimbizwa hao hutaamini.
Kweli hao mabeki hovyo kabisa ndyo maana mmeshinda
 
Back
Top Bottom