Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Lukaku benchi limuhusu kama Mkhtaryan
2-1Mzee VP naomba matokeo hadi muda huu!;
Akikaa benchi atacheza nani ?Lukaku benchi limuhusu kama Mkhtaryan
Unahisi mouh aliwambia nendeni mkajihami mkuu? Hukuona city kacheza bila foward na bado akapunguza wings wake akawa anaingiza beki?Mou anazingua sana, huwezi kujihami hivi nyumbani. Wachezaji wenyewe aliopanga sio wa kujihami anawachosha tu wachezaji.
Mkuu timu haishambulii ht lukaku anaambiwa akabe 2 ndo mipango ya kocha we2Lukaku benchi limuhusu kama Mkhtaryan
Mou anazingua sana, huwezi kujihami hivi nyumbani. Wachezaji wenyewe aliopanga sio wa kujihami anawachosha tu wachezaji.
Lukaku akaendelee kukuza mayai mawiliRashford tayari, bado Lukaku.


Ulikuwepo leo pale carington bila shakaMkuu timu haishambulii ht lukaku anaambiwa akabe 2 ndo mipango ya kocha we2
wachezaji ukiacha individual mistakes wanacheza kulingana naUnahisi mouh aliwambia nendeni mkajihami mkuu? Hukuona city kacheza bila foward na bado akapunguza wings wake akawa anaingiza beki?