Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 2,005
- 2,893
Mkuu umeongea ya maana sana. Kama ukiniuliza kocha gani ana akili pale uingereza nitakwambia Mourinho. Jamaa mbinu zake ni nzuri sana na ni fundi wa kuusoma mchezo for sure. City sijaona makali yako japo katufunga na hizo possesion ndiyo mfumo wa gadiola hata afungwe ataongoza kwa possesion.Chifu, ingawa nami pia siyo shabiki wa José, lakini katika hili sikubaliani nawe.
Ndiyo, tactics leo hazikuwa sawa. Lakini huwezi kum-dismiss José kwa stats za leo. United ya SAF ilipigwa 6-1 na City hapo hapo OT. Unakumbuka stats zake? Unakumbuka stats za Barća vs. United UCL Finals?
Binafsi, naridhika sana na anachokifanya José. City have the best form in EPL, kama siyo kwenye ligi zote za Ulaya kwa sasa. Kufungwa na City, kunauma sana, lakini siwezi kusikitika sana pia.
Pengo la Pogba naona hujaliongelea! Yeye ndiye best United player, ukimtoa DDG. Kumkosa kwenye game dhidi ya on-form City siyo jambo dogo.
Ligi bado. City can’t sustain hii pace mpaka mwisho. Pace ita dip pale mechi zitakapoanza kujazana kwenye mashindano anayoshiriki.
So, keep it positive and optimistic bruv.
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Tatuzo kwetu naliona kwa wacgezaji tu bado baadhi hawako na ile roho ya kiushindani zaidi na for sure mimi simkubali lukaku akiwa kama mshambuliaji ambae anaweza kumiliki mpira kufanya drible za maana na kuleta madhara.
Inabidi tuweke mapenzi pembeni kwa lukaku jamaa inabidi awe mtu wa kutegemewa na sinkutegemea.
