Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

...Dakika 10 za mwisho kabla ya mpira kumalizika,Arsenal ilikuwa inacheza na Washambulizi wake wa 5(Giroud,Lacazette,Iwobi,Welbeck & Sanchez) lakini bado walishindwa kupata goli katika lango la De Gea....Kitu pekee nacho kiona hapa ni kumsimamisha Pep Guardiola December 10.
Pogba angekuwepo ningekwambia tunawafunga bila tabu. Ila Pogba kufungiwa imenipasa kukiri lolote linaweza kutokea.
City wanafungika....
 
Mechi ijayo ya Uefa namuona matic,herera,rojo,valencia na lukaku wakipumzishwa au kuwekwa sub kusubiri mechi ya city na huku pogba na maktominay wakicheza kati na namba 9 acheze zlatan badala ya lukaku na huku felaini na bailly wakiisubiri hiyo mechi ya city ni maoni yangu tu au nyie wadau mnaonaje....???

Na navyojua morinho hawezi kumuacha benchi lukaku kwenye mechi dhidi ya city labda aumie.

City lazima ake pale OT.
Akikalishwa City itakuwa km tumeshinda ubingwa aisee. Mpira wetu watu ni wa kmbinu zaidi ya burudani. Siwaoni km wanatisha sana
 
Arsenal vs Manchester United stats. You wouldn't think the team on the right won 3-1!
24131515_10155904086368598_7023263462895989628_n.jpg
Nani alikwambia kuremba muandiko ndio kufaulu?
 
Wazee wa kupaki bus na matairi mmeng'oa kabisa haf mnashangilia ushindi aibu aise
 
Am happy and sad at the same tme! Mzee wangu na the gunners sijui mapenzi yao yalianza vip lkn ni ndoa umri zaid ya miaka 50, He is not happy always disappointed ajabu yake hakuna dalil ya kuachana!! Inanipa headache tunapokutana Arsenal, najua wazi furaha yangu ndo huzuni haswaa ya mzee wnga and viseversa.

Ni matokeo ya chaguzi zenu anyway, polen the gunners!!

De Gea was the best
 
*Factor which lead arsenal to lose match against Man United*

*Forced Labour* this is due to some player the're forced to play at arsenal but the're unhappy i. e Alexis Sanchez and Mesut ozil they need to leave the club

*Low wages of the players.* Some factor which will cause Arsenal to lose is that low wages coz arsenal players receive low wages compare to the're job and when they see Jese lingard receive high wages this will make arsenal to be unhappy in the pitch

*Poor Leadership* this go direct to arsene wenger and his board the're haven't good relationship

*poor weapons* Arsenal they have poor weapons like lagazeti oliva gurudumu sanchuzi dani walibuku and ozil compare to Man Utd Lomelu Lukaku Tony Martial Marcus Rashford ibracadabra mkhitaryan Paul Pogba

*Land alienation* and other factors such as to be taught by a coach who looks like mr Bean.
*Conclusion:*
We are waiting for miracles to happen at Emirates...
 
Well done boys! But hata hivyo Katika Mchezo Wa Jana Kipo Kitu Cha Kukizingatia na Wala Si Cha Kupuuza....

1) Kwanini Arsenal Wapate Shots 13 on target, na 8 off target?

2) Kwanini De Gea awe Man of the Match?

3) Kwanini De Gea Aokoe Mashuti Mengi Zaidi Katika Mechi Moja Kwa Msimu huu?

4) Kwanini Washambuliaji Wa Arsenal Waliruhusiwa Kupiga Mashuti golini Moja Kwa Moja tofauti na Munapozikabili Timu Kama Liverpool, Chelsea na Man city?

Hapo ni Dalili Kuwa Katika Defence Yenu au Mfumo wenu Kulikuwa na Tatizo....
Siku Zote Tatizo la Mabeki au Mfumo Humfanya De Gea Kuwa Shujaa...
Kabla ya mechi ulikuwa unalialia tumepanga kikosi cha kupaki bus hapa tayari umebadilisha gia

Tactics za Wenger,Klopp,Conte hazifanani

De Gea is the best goalkeeper in the world
 
Well done boys! But hata hivyo Katika Mchezo Wa Jana Kipo Kitu Cha Kukizingatia na Wala Si Cha Kupuuza....

1) Kwanini Arsenal Wapate Shots 13 on target, na 8 off target?

2) Kwanini De Gea awe Man of the Match?

3) Kwanini De Gea Aokoe Mashuti Mengi Zaidi Katika Mechi Moja Kwa Msimu huu?

4) Kwanini Washambuliaji Wa Arsenal Waliruhusiwa Kupiga Mashuti golini Moja Kwa Moja tofauti na Munapozikabili Timu Kama Liverpool, Chelsea na Man city?

Hapo ni Dalili Kuwa Katika Defence Yenu au Mfumo wenu Kulikuwa na Tatizo....
Siku Zote Tatizo la Mabeki au Mfumo Humfanya De Gea Kuwa Shujaa...
Ni mbinu tuu. Sometimes unaweza risk na ukapata matokeo. Kumbuka Arsenal walicharuka baada ya kufungwa na kwamba hakukuwa na cha kupoteza.

Ni wazi na kawaida timu inayokuwa nyuma kushambulia zaidi.
 
Kabla ya mechi ulikuwa unalialia tumepanga kikosi cha kupaki bus hapa tayari umebadilisha gia

Tactics za Wenger,Klopp,Conte hazifanani

De Gea is the best goalkeeper in the world

Inawezekana Hujanifahamu au Sijakufahamu.....

Ninavyofahamu Mimi sio Mshabiki anaebadili Gia angani, Bali Kocha Ndiye anaebadili Gia Angani...

Kivipi? Pale Mourinho alipoona Ndani Ya Dakika 5 za mwanzo Kuwa Arsenal Hamna Kitu akaamua Kuchange Tactics na Wala Si Formation...

Ni Kweli nasimamia Hoja Yangu Kuwa initially Kilikuwa Kikosi cha Kujilinda as usually...

Lakini kocha Kaona Hakuhitajiki Nguvu Kubwa Ya Kujilinda Yeye Wakati Beki Ya Arsenal Hamna Kitu....

Ila baadae Baada ya Arsenal Kutulia Mfumo ulifanya Kazi...

Na Kuhusu DE GEA kama umeniQuote Mimi basi you are Wrong...
De Gea Namjua kama ni Best na Wala sijawahi Mbeza! Namheshimu na Ndiyomana Natamani Real Wamnunue ili asiwepo EPL Kwa sababu ya Ubora Wake...
 
Back
Top Bottom