Yaani hawa jamaa ndo mishahara yao man u inaendA kihalali, na wana bahati hawapatagi wajeruhi ya muda mrefu...Oh kumbe uliandika misimu minne...
Mkuu Valencia hawezi kupumzishwa, Lukaku labda atolewe kwenye sub ila lazima ataanza.........Mechi ijayo ya Uefa namuona matic,herera,rojo,valencia na lukaku wakipumzishwa au kuwekwa sub kusubiri mechi ya city na huku pogba na maktominay wakicheza kati na namba 9 acheze zlatan badala ya lukaku na huku felaini na bailly wakiisubiri hiyo mechi ya city ni maoni yangu tu au nyie wadau mnaonaje....???
Na navyojua morinho hawezi kumuacha benchi lukaku kwenye mechi dhidi ya city labda aumie.
City lazima ake pale OT.
Atakuwa mrithi wa ji sung park yule mvimba macho alikuwa anamuelewa sana SAF panga pangua game ya arsenal yupo na alikuwa anakaba mpaka unaburudika.Lingard ni mchezaji anaefuata instructions not so talented.
Huyu kijana Lindelof naona ameanza kuzoea sasa. Watu walianza kumponda ila wataalam wa mpira wakawakumbusha hata alivyokuja Vidic siku za kwanza aliyumba, Evra nakumbuka game na Man City alivurugwa haswa....inahitaji mechi kadhaa kuizoea EPL na uzito wa jina Manchester United.
Mkuu ni noma aliwafanya mabeki wa Arsenal washindwe kutulia.Huyu kijana kama Chale flan hivi ila shughuli yake ndio hiyo.
Mkuu Rrondo huyu jamaa asemwi tu, nae ni watu ambayo sikuhizi za karibun ameonesha uwezo mkubwa na utulivu na game kama hizi zinazidi kumjenga.Huyu kijana Lindelof naona ameanza kuzoea sasa. Watu walianza kumponda ila wataalam wa mpira wakawakumbusha hata alivyokuja Vidic siku za kwanza aliyumba, Evra nakumbuka game na Man City alivurugwa haswa....inahitaji mechi kadhaa kuizoea EPL na uzito wa jina Manchester United.
Huyu na Baily ndio future ya ukuta wa Man UnitedMkuu Rrondo huyu jamaa asemwi tu, nae ni watu ambayo sikuhizi za karibun ameonesha uwezo mkubwa na utulivu na game kama hizi zinazidi kumjenga.
on target 4...tatu goli daaaaah walipaswa kufungwa zote maku walePana shabiki wa arsenal kanitumia hiyo nikampandia hewani nikamuuliza kwani kutongoza sana ndio kuoa (nimetumia tafsida )hajanijibu kakata na simu.
kaka ile cloud ya mashabiki 76elfu wanaoshangilia kuanzia dk ya 0 mpaka 100 kama hujaizoea lazima upagawe na ndio kilichomkuta huyu dogo ila ni zaidi ya vidic aisee maana kumbuka type ya vidic tunao wawili pale yeye na baily....smallind atafute timu msimu ujaoHuyu kijana Lindelof naona ameanza kuzoea sasa. Watu walianza kumponda ila wataalam wa mpira wakawakumbusha hata alivyokuja Vidic siku za kwanza aliyumba, Evra nakumbuka game na Man City alivurugwa haswa....inahitaji mechi kadhaa kuizoea EPL na uzito wa jina Manchester United.
Na hilo ndilo Jukumu lake kuu.Well done boys! But hata hivyo Katika Mchezo Wa Jana Kipo Kitu Cha Kukizingatia na Wala Si Cha Kupuuza....
1) Kwanini Arsenal Wapate Shots 13 on target, na 8 off target?
2) Kwanini De Gea awe Man of the Match?
3) Kwanini De Gea Aokoe Mashuti Mengi Zaidi Katika Mechi Moja Kwa Msimu huu?
4) Kwanini Washambuliaji Wa Arsenal Waliruhusiwa Kupiga Mashuti golini Moja Kwa Moja tofauti na Munapozikabili Timu Kama Liverpool, Chelsea na Man city?
Hapo ni Dalili Kuwa Katika Defence Yenu au Mfumo wenu Kulikuwa na Tatizo....
Siku Zote Tatizo la Mabeki au Mfumo Humfanya De Gea Kuwa Shujaa...
Aisee Lukaku hata asipofunga ile shughuli yake mbele inatosha. Wakati mabeki wanajichosha kuhangaika nae, akina Lingard,Martial wanafungakaka ile cloud ya mashabiki 76elfu wanaoshangilia kuanzia dk ya 0 mpaka 100 kama hujaizoea lazima upagawe na ndio kilichomkuta huyu dogo ila ni zaidi ya vidic aisee maana kumbuka type ya vidic tunao wawili pale yeye na baily....smallind atafute timu msimu ujao
ameshazoe zile kelele kwa sasa anapiga soka tu ila lukaku ndio bado anacheza na zile kelele za mashabiki