Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We jamaa kama sio mchawi basi utaja kuwa mchawi maana ni wachawi pekee wenye roho kama hizi. Roho mbaya tu.
Sasa si afadhali ungesema bora mumnunue ninyi Liverpool.

Sio Uchawi! Ndiyo Mpira hasa....

Kumbuka Morinho Alipokuwa Chelsea Miaka ya 2005s alikuwa Akimfunga Arsenal Nje ya Uwanja. Kwenye Pitch akimaliza Kazi tu......

Hii ndiyo inaitwa MEDIA WAR..... Mkuu Media War Si Roho Mbaya Wala Uchawi... Na Unapoamini Kuwa ni Uchawi au Roho Mbaya Basi Umekosa Sifa ya Kuwa Supporter wa Man United Bali ni Mshabiki tu wa Man United....

Mpira ni Kuombeana Njaa that is Why Mshabiki wa Real M. Wamefurahia Kuondoka Kwa Neymar Barcelona, Na Mshabiki Wa Barcelona Walifurahia Kuondoka Kwa Redondo Real M....

Na Kuhusu De Gea Kuja Liverpool Hata Yesu arudi Duniani Halitowezekana...

Liverpool na Man U hatuuziani Wala Hatukopeshani Wala Hatugaiani (Transfer for Free).... Full Stop!
 
IMG-20171203-WA0029.jpg
 
Mkuu fitna za mpira zipo na nazijua na ndio raha ya mpira na ndio uchawi nao uzungumzia hapa, maana kila siku ni sisi kuwaombea ninyi mabaya and vice versa. So yes ni uchawi au ninyi kwenu bwawani mnaita MEDIA WAR kwa kiinglish but the same thing which is Roho mbaya.
 
Tetesi
Manchaster United hawajakufa moto wa kumsaini mlinzi na West Brom na Northern Ireland Jonny Evans, 29, baada ya majaribio mawili kushindikana. (Sunday Express)
 
Tetesi
Manchester United hawana mpango wa kulipa pauni miloni 100 kumnunua mshambuliaji wa Real Madrid na Wales Gareth Bale, 28 na badala yake wameweka thamani mchezaji huyo kuwa kati ya paunia milioni 50 na 60. (Sunday Mirror)
 
Tetesi
Tottenham Hotspur imeripotiwa kuwa iko tayari kumuuza Danny Rose kwenda Manchester United Januari 2018, ikiwa Mashetani hao watakuwa tayari kutoa paundi milioni 45.
Rose, mwenye umri wa miaka 27, alikosoa sera ya uhamisho wa Tottenham kabla ya kuanza kwa msimu mpya, na licha ya kurudi kutoka kwenye majeraha katika wiki za hivi karibuni, mlinzi huyo wa kushoto amekuwa akiingia na kutoka kwenye kikosi.
Rose, ambaye amezaliwa katika mji wa Doncaster, anaaminika kuwa ana nia ya kurudi kaskazini, na kwa mujibu wa Daily Star, Spurs wamewaambia United kuwa paundi milioni 45 ndiyo ada ya uhamisho ya mlinzi huyo na Spurs itamuuza mwanzoni mwa 2018 kama Manchester itakuwa tayari kutoa kiasi hicho.
Ashley Young amekuwa akifanya vizuri upande wa kushoto kwa United msimu huu, lakini kocha mkuu Jose Mourinho anataka mchezaji mwenye asili ya mlinzi wa kushoto, na kuwasili kwa Rose kutafungua milango kwa Luke Shaw kuondoka Old Trafford.
Rose, ambaye amefanikiwa kuanza mechi moja pekee kwenye Ligi Kuumsimu huu, ana mkataba na Tottenham mpaka Juni 2021.
 
Back
Top Bottom