Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rondo kakueleza vizur sana magoli hayana maana tunahitaji point moja kukata nafas ya uhakika ushindi wa cska moscow ulitibua
ndugu kama tutafungana nao poit head to head ndio itakayoangaliwa hivyo bado tunanafac kubwa cozi czan km wataweza ktufunga gori tulzowfunga wao ktk mech zlzopita na istoshe bado cjaiona tmu y kfunga hapo. GGM
 
ndugu kabla hujawaza magoli unatakiwa kushinda mechi unataka kutuambia kwa wingi wa magoli man city ni bingwa na hakamatiki?
 
Unajua maana ya 'mathematically possible' kwenye soka? Kama unajua utaekewa nasema nini. Bado hatujapita group stage.

jamaa anapigia hesabu magoli anajua shughuli imeisha hajiulizi basel alimpigaje 5 cska moskow siku zote usalama ni point sio magoli tunahitaji suluhu au ushindi basi ili kumaliza shughuli
 
Kuna mtu alikuwa anafikiri H'field wangetupiga mbili? Au Roma angemlamba Chelsea 3-0 ? Kuna mwaka tulitolewa group stage kizembe sana kwa kuamini bado tutamfunga fulani mara paap nje!
 
kweli mkuu kwenye hili hili kundi tulitolewa kizembe mno kama sio 2011 bas 2012 tuliamin basel tunamfunga ajabu tulitoka 3-3
ndo mana tumamwambia jamaa muhimu ni point sio magoli ndo mana hata wachambuz wanakwambia tunahitaj point moja japo tuna wingi wa magoli.
 
sidhani kama uefa wanaangalia magoli, bali wanaangalia mlivyokutana nani alimfunga mwenzie, tukipoteza then basel au cska mmojawapo akatufunga nyingi zaidi ya tulivyowafunga wao wanatushusha.

2017–18 UEFA Champions League group stage - Wikipedia

hata kama una goli 20 ukifungana na timu yenye goli 5 na hio timu ilikufunga ujue wewe utakuwa chini na hio timu itakaaa juu yako.
 
Upo sahihi hata Spurs alipopata safe ya 1:1 kwa Madrid alikaa juu na Leo iwapo wakitoka 0;0 ataendelea kukaa juu
 
Chelsea reject

One of the BEST reject we've ever had.
e1a99326823b08abad7c1892811b3241.jpg
 
Back
Top Bottom