Hivi ni timu au kocha? Mick hayupo vizuri anampangaTukisema hatuna timu watu wanasema hatujui mpira na si mashabiki wa Man utd.....but as time goes on ukweli utadhihirika.
Kukubali maradhi ndiyo mwanzo wa kupona.
Micki style ya co kukaba km lingard utampa lawama ya bureHivi ni timu au kocha? Mick hayupo vizuri anampanga
Hawana ari ya kipigania ushindiWachezaji wetu wanakuwa soft sana
Hivi ni timu au kocha? Mick hayupo vizuri anampanga
Kwa mwendo huu Taji la EPL msimu huu tusahau
Tunayekimbizana nae ni moto wa gas mkuu..Kwa mwendo huu Taji la EPL msimu huu tusahau
Acha zaraukweli sisi bado kama tunafungwa na litimu libovu kama hili li chelsea city tutamuweza kweli