Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,165
Sasa nyie mbona hamjaonyesha ubunifu kwa asiye na ubunifu.?mkuu kimario kweli tena sasa kama chelsea hii inakufunga isiyo na ubunifu vipi city?
Sasa nyie mbona hamjaonyesha ubunifu kwa asiye na ubunifu.?mkuu kimario kweli tena sasa kama chelsea hii inakufunga isiyo na ubunifu vipi city?
Hahaaa eti litimi libovu. The best team always win. Shut up
Mkuu unakumbuka nilishawahi kukwambia nakusubiri Nov. Nadhani nimekupata sasa.
Sasa nyie ndio mkaze mumpuge City hata draw tu inatosha swala kumpunguza kasi
Hongera umepata mke wa asnoo nawajua hao wavumilivu hadi chechi
Sasa nyie mbona hamjaonyesha ubunifu kwa asiye na ubunifu.?
Hazard unaweza kumfananisha na mchezaji gani wa timu yenu.? Hahaa we jamaahata nikiangalia sijaona kitu wachezaj wa chelsea wameizid united mourinhi plan yake mbovu leo utafikir anacheza na wakina Kdb + silva viungo wabunifu kumbe duuuuuuu
Ulifanya vema kula mapema.Wakuu hapa nilipo napata dinner kabisa maanake mimi man utd ikifungwa wiki nzima inaharibika kwahio najihami nisije kushindwa kula!
Hiyo ni mipango mingine mjomba. Acha kujitetea
Sijamuona matic akicheza......nimemuona ng'olo tuWatu wetu wa kati hawana energy??? Upo serious kweli mkuu ???......mechi ya Leo kiungo gani mwnye nguvu kumshinda matic .... ????......kwa pale EPL viungo wachache wenye nguvu matic na dembele wamo
ndo mana nimejitoa kwenye ubingwa kupigwa na timu ambayo haielewek ni udhaifu trust me

Hazard unaweza kumfananisha na mchezaji gani wa timu yenu.? Hahaa we jamaa
Ingekuwa haieleweki ingeshika mkia. Shut up![]()
Kuhusu mechi ijayo usiiongelee kabisa. Naweza nikakuchezea mpira zaidi ya huu na nikakupiga za kutosha.hakuna cha kujitetea kocha wako mwenyewe anajua 3 lazima ataziacha old traford kocha wangu sio mzur mech za away kawa mbovu kwa top 6 naona guadiola kawa mwamba away and hom
Na nyie mgejaza tu....mpira ni mbinu siyo manenoNi kweli mkuu, jamaa wamejaza mijitu kati kati hatari. Bado Pedro yupo nje, Ila Fella ataingia, Martial na Darmian au Blind.
Hazard unaweza kumfananisha na mchezaji gani wa timu yenu.? Hahaa we jamaa