Siyo kweli mkuu.Leo ndio tumecheza hovyo kuliko siku zote msimu huu
Anamuwekaje Mata nje?Mkhi ana homa za vipindi..
Kocha anapenda wachezaji wenye miguvu ufundi sifuri..
Hakuna kocha atampata Martial halafu amuweke bench ni ujinga..
Mkuu hivi unamjua Dimitar Berbatov kweli?Sina kumbu kumbu kama barbertov alikua anaweza kupiga chenga, kupiga chenga sio kipimo cha straicker, straiker kazi yake ni kufunga na siokupiga chenga!!
Morata kapata nafasi za wazi kama tatu hivi mbili akiwa yeye na kipa....hizo nafasi angezipata lukaku angefunga zote!!
Bado sijajua kwanini martail anawekwa bench...
All in all, namba tisa anamegemea namba 10 na namba 8! nadhan uliona kiwango cha micky leo kilikuaje!!!
Tunawamiss Pogba na Ibra. Hakuna kwa sasa man united mchezaji anaeweza kufanya shambulizi kwa kutumia uwezo binafsi.
Pole aiseee.....najua popote ulipo nanilii linadunda tuu.Hahahahhahahaha andaa machela itakayo wabeba. Mje na kikosi cha msalaba mwekundu.
Hahaaa eti litimi libovu. The best team always win. Shut upkweli sisi bado kama tunafungwa na litimu libovu kama hili li chelsea city tutamuweza kweli
Naona umekazwa ka moja tuAsante sana![]()
![]()
.
Leo hapa hapa hatumwi mtu dukani
Mkuu unakumbuka nilishawahi kukwambia nakusubiri Nov. Nadhani nimekupata sasa.pale no.10 hamna mkhi kwisha habar yake kupata mchezaj kariba ya rooney tutasota sana
Huyo atakuwa kahadithiwa tu kuhusu Berbatov naamini hajamuona huyo fundi!!Mkuu hivi unamjua Dimitar Berbatov kweli?
Yule miguu yake ilikuwa na vinasa mpira, usimfananishe kabisa!
nashindwa hata kurud hom nimemtambia wife japo yeye ni arsenal sijui nani leo atamtuliza mwenzie mweeee
Rudi mkakumbatianeni, her loss is your lossnashindwa hata kurud hom nimemtambia wife japo yeye ni arsenal sijui nani leo atamtuliza mwenzie mweeee
