FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Continental nni swahibaDaaah na hii mvua!!
Hivi kwenye hichi king'amuzi changu itaonyeshwa kweli??![]()
![]()
![]()

Continental nni swahibaDaaah na hii mvua!!
Hivi kwenye hichi king'amuzi changu itaonyeshwa kweli??![]()
![]()
![]()

Hapana mkuu ni startimesContinental nni swahiba![]()
Karibu mpenzi leo naona utakuwepoDaaah na hii mvua!!
Hivi kwenye hichi king'amuzi changu itaonyeshwa kweli??![]()
![]()
![]()

Dooooh kupitia tv 1 au?!Hapana mkuu ni startimes
Kuna siku huwa wanaonyesha live sasa sijajua Leo.Dooooh kupitia tv 1 au?!
Unna shaka nae ila kazi yake unaijua.De gea, Jones, Baily, Blind, Antoni, Matic, Hererra, Mkhi, Marcus, Jessy, Rumelu.
Jersey nna shaka naye japo kukimbiakimbia kwake kuna tija. Dogo anakabaka toka kwa kipa
Sjaiangalia tv 1 muda sana mkuu walikuwa wanaonesha sku ya jmos game moja sjui kama huo utaratibu bado upo.... Tumia mobdro tu kama una smartphone au laptopKuna siku huwa wanaonyesha live sasa sijajua Leo.
Kwani hamna channel nyingine mkuu ? Coz natumia dish
Asante sanaKaribu mpenzi leo naona utakuwepo![]()
.Oohh hivi kumbe huwa ni jumamosi!!Sjaiangalia tv 1 muda sana mkuu walikuwa wanaonesha sku ya jmos game moja sjui kama huo utaratibu bado upo.... Tumia mobdro tu kama una smartphone au laptop
Yah kufa kufaana, tupo tayari kwa lolote, hivi everlenk umemficha wapi??Asante sana![]()
![]()
.
Leo hapa hapa hatumwi mtu dukani
Eva yupo sema mambo mengi tuu boss.Yah kufa kufaana, tupo tayari kwa lolote, hivi everlenk umemficha wapi??
Pamoja mkuu au kama upo jirani usogee na coke baridii tu hapa popcorns zimejaa teleOohh hivi kumbe huwa ni jumamosi!!
Sawa mkuu ngoja niandae MB
Owkey, anamisika hapa kwa kweli....mpe haiEva yupo sema mambo mengi tuu boss.
Bila shaka nipo jirani ! Nimekuona ulipo kaaPamoja mkuu au kama upo jirani usogee na coke baridii tu hapa popcorns zimejaa tele
Zimefika na Leo atakuwa hapa bila shakaOwkey, anamisika hapa kwa kweli....mpe hai
Hivi mbona ulaya sijasikia mashabiki wakifa kwa presha kama hapa bongo inapokua Simba na Yanga? Au huwa hawatutangazii??Yah kufa kufaana, tupo tayari kwa lolote, hivi everlenk umemficha wapi??