radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Kevin De bruyne anawaona wajue
mkopo wa wolfsburg ulimsaidia mno angeendelea kubak chelesa huenda ingekuwa story
Kevin De bruyne anawaona wajue
Ndo wajue jembe ukilimia sie Kwani twanyeamkopo wa wolfsburg ulimsaidia mno angeendelea kubak chelesa huenda ingekuwa story
Ndo wajue jembe ukilimia sie Kwani twanyea
Huwa siposti ili mtu aone mantiki yangu, ukiona huelewi sio lazima u-qoute.sijaona mantik yako sasa kama mfumo uliwakataa unataka ulazimishe wecheza kama liverpool? au huyo ndo mchezaji wa kwanza duniani kufeli timu flan kwenda timu b akang'aa?
Man Saa moja na nusuGame ya city NA hii ya man ni SAA ngap
Hahahahhahahaha andaa machela itakayo wabeba. Mje na kikosi cha msalaba mwekundu.Leo ndio leo. Tutapiga mpaka mtembelee magongo.
AmenChelsea 0-2 man utd
Daaah na hii mvua!!Saa 19.30 pm

King'amuzi gani?Daaah na hii mvua!!
Hivi kwenye hichi king'amuzi changu itaonyeshwa kweli??![]()
![]()
![]()
Star times mkuuKing'amuzi gani?