Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mie nafikiri lukaku yuko poa na ile ndio style yake sema unamuona kapwaya kidogo ni kwasababu feeders hazikuwepo nyuma yake.

Kwa tathmini yangu mikh ndio katokota sana leo na ndio alikua kete ya ushindi toka first half.
Mie naona Mikh anajitahidi kwa nafasi yake ila anashuka sana na anashidwa kupanda kwa haraka,ila naamini viungo wetu wakirudi tutamuona Mikh akirudi kwenye ubora.
Najua Lukaku ni style anayocheza ila sasa hivi defense nyingi zimemjua kwamba hajui chenga na ukiwa unacheza na timu kubwa zinajua weakness yako inakuwa ngumu sana kufunga.Leo Mou alijua kwamba Eriksen ndio uti wa mgongo wa spurs na tulimficha kweli kufanya spurs wawatumie Winks na Aurier kufanya mashambulizi.
Lukaku inabidi kubadilika kama anataka kuongoza attack ya timu kama Utd,naomba tuangalie strikers wa elite teams in europe halafu tumsimamishe na Lukaku.
 
Lazima nikuelimishe. Mechi kubwa sina mbinu zake.Tatizo tangu mjue neno kupaki basi mnafikiri kila mahali mnaweza kulitumia.

Post yangu ya mwisho hii ombi lako nimelipokea,sitapoteza muda tena kuku-quote.
Sasa elimu gani hapo umeitoa..?


Tatizo uliingia kwa papara na kuniambia kwamba "si lazima nichangie" Wewe kama nani mpaka unene hivyo...Je uyohana au eliya...?

Hebu tujuze ni lini tumelipata Hilo neno "kupaki" kama unavyodai.


Lazima tukosoane kwa adabu na ni dhamu na kubadilishana mitazamo na sikutanguliza dharau mbele.


Heshima mbele Kwanza!!!! GGMU
 
Msemakweli

Screenshot_2017-10-28-17-13-00.png
 
Huyu bwana ndo zake kwenye big game 2meona game ya liver na hii ! Ngoja mechi za city na chelsea yatakuwa haya2 labd atashambulia game ya mpumbavu mwenzake wenger....na hiyo pia itakuwa ya away home atapakiii semi....
Ifike kipind uelewe falsafa ya kocha anayefundisha timu yako... Kupaki basi ni mbinu take ambayo ameitumia kwa mda mrefu na imempa mafanikio na bodi ilivompa kazi ilijua hayo...
Na co kwa man cty tu subri kuona anapaki hadi kwa crystal palace ngoja mda ufike
Muhimu point tatu
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
 
Mnaosema man utd wamepaki bus angalieni stats, spurs hawana shot on target kipindi chote cha pili na man utd wamemiliki mpira kuliko spurs. Unaweza kupaki basi ukawa na possession kubwa?
 

Attachments

  • Screenshot_2017-10-28-17-18-08.png
    Screenshot_2017-10-28-17-18-08.png
    39.2 KB · Views: 36
  • Screenshot_2017-10-28-17-13-28.png
    Screenshot_2017-10-28-17-13-28.png
    24.4 KB · Views: 34
Back
Top Bottom