Naona AbTchaz kaamua kususa,Mfarisayo endelea kumwaga pichaAsante Mfarisayo kwa mipicha...namkumbuka Braza Icadon enzi zilee za Jamboforums, naona pengo lake limezibika, Ab Tchaz amekuwa mhuni siku hizi..
Nasikitika sana kijana wangu hajafunga naamini muda si mrefu ataanza kufunga,Berbatov bora uanze kutafuta timu mapema .Jana angekuwa Almunia tungewafunga magoli 19Second half SAF ingiza Chicharito apige hattrick
Yalipofika sita nikaanza kumwonea huruma Mr Bean.
SAF alikuwa anaomba madogo wasifunge zaidi ya 6 sema ndio hivyo they were scoring at will, ila yale magoli yote makali.... especially ya Ashley Young na free kick za Rooney .
Nadhani hiyo move itamsaidia sana maana alivyokwenda Italy hakukumsaidia sana, angalia loan spells za Welbeck na Cleverley zilivyowasaidia.Nimesikia Macheda anaenda Newcastle kwa mkopo
SAF alikuwa anaomba madogo wasifunge zaidi ya 6 sema ndio hivyo they were scoring at will, ila yale magoli yote makali.... especially ya Ashley Young na free kick za Rooney .
Angalia goli la tatu alafu muangalie rosicky lol jamaa hakuwa na habari na nini kinaendelea....alikuwa amejikalia kama yuko beach vileBeki za Asenol mburukenge kwelkwel (tusi kwa hisani ya Wacha Boy), haiwezekan mabao Manne (4), mnafungwa yanafanana..stail ileile...mibek inaweka ukuta afu airuk, shenz type.
Barca taught us a big lesson, na mzik uu unawafaa wao sio awa watt wa kindergaten wa Wenga., tunawaonea tu.
Angalia goli la tatu alafu muangalie rosicky lol jamaa hakuwa na habari na nini kinaendelea....alikuwa amejikalia kama yuko beach vile
Yani mie ningekuwa Wenger ningemweka benchi mpaka atie akili... Yani ile ni dharau.Nilicheka sana nilipoangalia MOTD2 jinsi Alan alivyoua hilo tukio.
Mkuu CD/CM wa 'uhakika' u mean wat kaka?, binafsi sion shida kaka, tuna wide range ya selection ambayo so far ime prove positive...mind yu tuna Fletcher an Carick ambao wametubeba sana msimu jana..tuna Giggs na Gibson pia..CM tuna wakongwe Rio na Vida ambao kwa sasa Jones, Evans na Smalling wameziba pengo lao safi...m nadhan back up yetu iko smart pia na ime prove positive so far.Dirisha la usajili lishafungwa na kama wengi wetu tulivyotegemea hatukusajili CM/DM wa uhakika, well ni vizuri kuwa SAF anawaamini akina Cleverley na Anderson lakini swali ni kuwa bar long term injuries wataweza kucheza at least 40 games week in week out na kudeliver the goods? Nikiangalia signing za Barcelona who gave us a hiding 4 months ago, au our noisy neighbour naona kama tumefanya average signings sana especially kama tunataka kucompete in all four fronts.
Well at the end of the day when its all said and done nitaendelea kuisupport team regardless of who we bring in or not lakini that doesn't mean I can't show my disappointment.
I meant Defencive Midfielder au Central Midfielder maana Anderson ana ile mentality ya kibrazil attack attack kudefend zero sasa yeye na Cleverley kama umegundua uwa wanajisahau na kuna tundu pale kati wanaliacha wazi. Carrick nadhani ndio tayari wameshaanza kumphase out taratibu akirudi kwenye form ya 08-09 na Fletcher arudi kwenye form ya 08-10 itakuwa poa sana.Mkuu CD/CM wa 'uhakika' u mean wat kaka?, binafsi sion shida kaka, tuna wide range ya selection ambayo so far ime prove positive...mind yu tuna Fletcher an Carick ambao wametubeba sana msimu jana..tuna Giggs na Gibson pia..CM tuna wakongwe Rio na Vida ambao kwa sasa Jones, Evans na Smalling wameziba pengo lao safi...m nadhan back up yetu iko smart pia na ime prove positive so far.