Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilicheka sana nilipoangalia MOTD2 jinsi Alan alivyoua hilo tukio.
Hii kitu siwezi kuchoka kuiangalia.
1z6t4ya.jpg

vnhxdj.jpg

2en2o9h.jpg

Well said braza Eqplz (sp: mkuu jina lako kwangu ni mtihan kulipatia)
Nadhan mm sikukuelewa poa...BTW nilipomchek Cleva na Ander n kwel thy make the team to b more fluid, on the atha way round , n hatar kama mkiwa na mabeki fek kama wa Arsenol, kidogo Carik na Fletch wana defending mentality kidg, kwaio tuwape mda mayb SAF akawabadil (hususan Clev), apunguze mzuka, unles azawiz ad awa wawil (karik na fletch) wawe wanacheza na Ande au Cleve at a go.

hahaha! ayo magoli apo juu n kituko...yaan Fat Arses n sifur, mnafungwaje magoli (manne) ya ku copy and paste.?..kwel amnazo.

Japokuwa alikuwa free agent ila kwenda city ameniuzi sana huyu Hagreaves.
Jamaa akiwa fit ni mchezaji mzuri sana na anacheza namba nyingi ,nakumbuka kuna kipindi alikuwa anacheza beki wa kulia na nakumbuka siku alivyowafunga Arsenal kwa freekick.Sidhani kama atapata nafasi pale Man City ukichukulia kuna viungo wengi kama Barry,Milner,Toure,De Jong,Nasri,Silva

I meant Defencive Midfielder au Central Midfielder maana Anderson ana ile mentality ya kibrazil attack attack kudefend zero sasa yeye na Cleverley kama umegundua uwa wanajisahau na kuna tundu pale kati wanaliacha wazi. Carrick nadhani ndio tayari wameshaanza kumphase out taratibu akirudi kwenye form ya 08-09 na Fletcher arudi kwenye form ya 08-10 itakuwa poa sana.
Nakubaliana nawe kuwa hatuna Defensive Midfielder wa uhakika ,matumaini yamebaki kwa Fletcher tuombee Mungu asiwe majeruhi

Ile freekick dhidi ya Arsenal sintoisahau, na jinsi alivyoshangilia.
Hargo atacheza kwenye Carling Cup arudishe fitness yake nadhani msimu ujao atakwenda timu nyingine, Man Citeh nadhani wamemsajili ili kutupandisha hasira tu sio kuwa walikuwa wanamuhitaji kivile.

Nakubaliana nawe kuwa hatuna Defensive Midfielder wa uhakika ,matumaini yamebaki kwa Fletcher tuombee Mungu asiwe majeruhi

I said tangu Roy Kean alipoondoka tumekuwa na tatizo kwenye kiungo cha kukaba, Hatujapata kiungo mwenye uwezo wa kukaba mtu na nafasi (Physical marking and space marking) Carrick ni mzuri kwa kukaba nafasi tu, Fletcher naye ni mzuri kwa kukaba nafasi, ingawa ana uwezo wa kutibua move lakini hana msuli wa kutosha kumdhibiti adui mwenye nguvu. Las Diara alikuwa anafaa zaidi kusajiliwa

I meant Defencive Midfielder au Central Midfielder maana Anderson ana ile mentality ya kibrazil attack attack kudefend zero sasa yeye na Cleverley kama umegundua uwa wanajisahau na kuna tundu pale kati wanaliacha wazi. Carrick nadhani ndio tayari wameshaanza kumphase out taratibu akirudi kwenye form ya 08-09 na Fletcher arudi kwenye form ya 08-10 itakuwa poa sana.

Moja ya vitu ambavyo Ferg alikuwa anagombana sana na Anderson ni tabia yake ya kukimbia tu mbele na mpira bila kuangalia wenzake wako wapi na kuna wakati alikuwa anamwambia Anderson hana adabu kwa kuwa hasikilizi ushauri wake. Kidogo kwa sasa anaanza kujirekebisha taratibu na akiweza kuacha kushambulia sana nafikiri atakuwa mzuri sana kwenye kukaba kwani ana nguvu za kutosha na uwezo mkubwa wa kukaba. Na Ferg anamkataza kushambulia kwa kuwa huwa anawahi sana kuchoka akiwa anakimbia sana kwenda mbele.

[h=1]Sir Alex lands August award[/h]
Sir Alex Ferguson has scooped the Barclays Manager of the Month award for August 2011 following a fantastic few weeks for Manchester United.

The prize is recognition for the champions sitting top of the table, ahead of local rivals Manchester City on goal difference, after a 100 per cent start to the league season comprising victories over West Bromwich Albion, Tottenham Hotspur and Arsenal.
The United boss has now won the monthly award on a record 26 occasions, 15 more than his closest rival Arsene Wenger.

I said tangu Roy Kean alipoondoka tumekuwa na tatizo kwenye kiungo cha kukaba, Hatujapata kiungo mwenye uwezo wa kukaba mtu na nafasi (Physical marking and space marking) Carrick ni mzuri kwa kukaba nafasi tu, Fletcher naye ni mzuri kwa kukaba nafasi, ingawa ana uwezo wa kutibua move lakini hana msuli wa kutosha kumdhibiti adui mwenye nguvu. Las Diara alikuwa anafaa zaidi kusajiliwa

nakubaliana nawe mkuu...nadhani Fergie anajaribu kuachana na falsafa hii ya defensive midfielders instead kuwa na timu ambayo ni more dynamic, yenye kusaidiana na kila mtu kucheza kwa ajili ya mwenzie na timu kwa ujumla..some kind of we win together and fail together, they called it total football in the 1970s.

nami nimuunge mkono bse there was only one Roy Keane as there was only one Paul Scholes..wanapoondoka unafanyaje? you can't afford to dwell on your past but rather for sustainable success, you adopt different tactics to efficiently utilise the resources that you have...and that is exactly what Fergie is trying to do(he is a master in inventing, copying and trying new ideas).

Fergie anachokifanya sasa ni kuwa na a very young team ambayo itacheza possessive(with more passing),flowing, fast football...mkuu utakubaliana nami katika game na man city..baada ya zile changes ziliwatoa Vidic, Rio na Carrick na kuingiza damu changa..Evans, Jones na Cleverly jinsi game ilibadilika..City waligeuka kuwa spectators only.

Na niseme ni kwa invention hii tutazi-dispose timu nyingi sana kwenye EPL lakini pia itatuweka katika nafasi nzuri ya kucheza na timu kama Barcelona...Kifupi niseme Fergie anajaribu kujenga timu itakayozishinda timu za uingereza lakini pia yenye kuweza kuishinda Barcelona ya leo..

Mkuu itazame Barca..Sergio Busquet si defensive midfielder wale tumewazoea..lakini akisaidiana na Central Defender kama Pique..huhitaji nail biting midfielder na hapo ndiyo mfano wa Anderson na Phil Jones unaingia.

If you can't beat them join them...the target is Barca mkuu..we must knock them off their fu....ng perch.

RVP katupia nne uholanzi,Young katupia tatu korea!

Khekheeeeeeee! Jagi bana.....siku kama ya leo last week...pheeeeew! tulikuwa tunambanika mtu juan..nyambaaaafu..

BTW wat a long weekend is this, weekends without EPL SUCKS...tunaishia kutenda zambi tu...agrrr8*7%$@&!

nakubaliana nawe mkuu...nadhani Fergie anajaribu kuachana na falsafa hii ya defensive midfielders instead kuwa na timu ambayo ni more dynamic, yenye kusaidiana na kila mtu kucheza kwa ajili ya mwenzie na timu kwa ujumla..some kind of we win together and fail together, they called it total football in the 1970s.

nami nimuunge mkono bse there was only one Roy Keane as there was only one Paul Scholes..wanapoondoka unafanyaje? you can't afford to dwell on your past but rather for sustainable success, you adopt different tactics to efficiently utilise the resources that you have...and that is exactly what Fergie is trying to do(he is a master in inventing, copying and trying new ideas).

Fergie anachokifanya sasa ni kuwa na a very young team ambayo itacheza possessive(with more passing),flowing, fast football...mkuu utakubaliana nami katika game na man city..baada ya zile changes ziliwatoa Vidic, Rio na Carrick na kuingiza damu changa..Evans, Jones na Cleverly jinsi game ilibadilika..City waligeuka kuwa spectators only.

Na niseme ni kwa invention hii tutazi-dispose timu nyingi sana kwenye EPL lakini pia itatuweka katika nafasi nzuri ya kucheza na timu kama Barcelona...Kifupi niseme Fergie anajaribu kujenga timu itakayozishinda timu za uingereza lakini pia yenye kuweza kuishinda Barcelona ya leo..
Mkuu itazame Barca..Sergio Busquet si defensive midfielder wale tumewazoea..lakini akisaidiana na Central Defender kama Pique..huhitaji nail biting midfielder na hapo ndiyo mfano wa Anderson na Phil Jones unaingia.
If you can't beat them join them...the target is Barca mkuu..we must knock them off their fu....ng perch.

Aisee wee jamaa n mkali..well stipulated post...nikiwaambia'ga' kuwa Manure fans sie ni ma pundits wa ukwee wa soka hatuna yengele kama za kina Wacha and co watu wanabisha...safi sana 'utsaadh' Al Zaqawi, well elaborated post..

Asa mkuu wangu uwe unajitaid kuja week in, week out, katika kuzima mashambuliz ya wahuni awa ambao hawajui soka....kama kawaida sie wazee dozi mwanzo mwisho. Tulianza na Fat Arses last week...who is next?

Al Zagawi well written post, sema tatizo la Anderson ni mzito (but you never know what the manager sees in him wakati wa training).

Man U iko Juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Back
Top Bottom