21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,299
- 2,843
Daaaaa Leo kufungwa mbili morhinho siyo Kocha....na mlivyokuwa mnatoa 4G mkajikabidhisha na ubingwa kabisa Leo mou mbabaishajiKuanzi gemu na liva manchester wameanza kuzingua, hua najiskia kichefchefu ata kuwaangalia, hata hiyo gemu ya uefa tulishinda kibahati tu, morinho si kocha ni mbabaishaji tu
Nasikia Mange Kimimba kasazisha dkk ya 240Leo Ukawa wamekuja kuweka kambi uku.

Kwani kuna mtu anaitaka.? Bakini nayo tu takataka hiyoMtuachie timu yetu
naona leo msemaji wa chama tawala mdomo umejaa maji😀Leo Ukawa wamekuja kuweka kambi uku.
Hivi sasa tena!!
Hahahaaaaaa... Poleni jirani
View attachment 613977 Mwanitesa United nawakumbusha tu shughuli ijayo itakuwa na Spurs andaeni maturubai yakutosha😀
Mwanitesa United mshapigwa bao skilizieni mimba😀😀
Teh teh teh tehView attachment 613977 Mwanitesa United nawakumbusha tu shughuli ijayo itakuwa na Spurs andaeni maturubai yakutosha😀