RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,769
- 129,509
Mou alienda Liverpool ili ASIFUNGWE tu! Mou anaamini atachukua maximum points nyingi kwa timu ndogo, hivyo asipofungwa na timu kubwa atachukua ubingwa. Home games na timu kubwa atahakikisha tunashinda,ila away atafanya mbinu yoyote tusifungwe...walisema kwamba hatutamiss pogba lknykweli ni kwamba tunamuhitaji sana huyu jamaa..especially kwny match kubwa kamahii ya liverpool..leo midfield ywtuilikuea imekufa kabisa yan..mipira haiendi mbele!
