Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-10-14-11-23-01.png
 
kuna baadhi ya kauli mtu akizungumza ni bora akutukane moja kwa moja

What's great about our many years of success is our young fans can't remember a time Liverpool were any good" - Sir Alex Ferguson
22528274_1686806911379279_9044641429851775664_n.jpg
Teh teh teh! Liverpool no longer a BIG CLUB is just another middle of the table club struggling or pretending to belong with the BIG BOYS!
 
Pokea like ila kwenye huu uzi ni bingwa wa mipasho lakini michango ziro hii ni pamoja na huyo unayemshabikia.

Kwenye uzi kila mmoja ana michango yake na si kila michango hupendeza kila mtu.

Kumezea ni busara pevu. Posts zangu humu hazitaathirika na madongo ya yeyote yule.

Upepete ila mimi kila siku humu ni kupost nitakacho. Kama ni idadi ya posts au likes sihitaji kuwemo humo ziko nyuzi stahiki kwa hayo.

Put up or simply shut up!
Sijui kwann wanataka kukupangia awajui wengine runabuludika na ndio maana ukiondoka tunakumiss... Nazani ao nimalimbukeni wachache wakupuuzwa
 
Sijui kwann wanataka kukupangia awajui wengine runabuludika na ndio maana ukiondoka tunakumiss... Nazani ao nimalimbukeni wachache wakupuuzwa
Ni wivu. Ukiona mtu anaongelea likes na posts badala ya maendeleo ya Manutd ujue ana sheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeda!


Wengi dhana ya JF bado hawajaielewa kabisa . JF ni supermarket ya news. Zipo tuzipendazo na zipo habari hatuzipendi. Ni kazi kwetu kuchagua zipi za kuchukua zipi za kuacha.

Sasa wanapotokea wakora wawili au watatu wanajifanya ni content controllers ni kuwasamehe tu kwani hata hawajifahamu sembuse waifahamu JF?
 
Back
Top Bottom