mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
Ana tupa raha tu.Mkuu vipi unaendeleaje na cabaye![]()
![]()
![]()
Ana tupa raha tu.Mkuu vipi unaendeleaje na cabaye![]()
![]()
![]()
Mkuu hapa hawatoki mbona zaha atawapiga la piliAna tupa raha tu.

Kimenukaaa.Mkuu hapa hawatoki mbona zaha atawapiga la pili![]()
![]()
Kwa kocha (Mourinho) game plan imefanya kazi,huwa Anfield anatafuta angalau droo.Kwa tunaomjua Jose hatushangai ni bora afungwa na Sunderland kuliko hizi timu kubwaMkuu umenena kitu kizuri sana yan nimeshangaa sana kang'ang'ania mipira ya juu dakika zote wakati anajua plan imegoma darmian poor smalling angetufungisha anachanganyikiwa nahis anavutq bangi yule
Mkuu city anaongoza 3 had nowKwa kocha (Mourinho) game plan imefanya kazi,huwa Anfield anatafuta angalau droo.Kwa tunaomjua Jose hatushangai ni bora afungwa na Sunderland kuliko hizi timu kubwa
Mnajitahidi mnatoa sare hii gameKimenukaaa.
Tunashinda wabovu haoMnajitahidi mnatoa sare hii game
Walikuwa wanakufa Leo. Lukaku hajaonekana kabisaaa. Matic kapotea.
Wanawafunga watoto wanasema wanajua.
Tuna chomoa hizo kisha tunawaongeza kimoko tuuTunashinda wabovu hao
Mkuu hawa wabovu wanaondoka na point 3 leoTunashinda wabovu hao
Naona mmeshinda 2-1Tunashinda wabovu hao
Nimeona Chelsea ameuwa mtu. Bha kule kwetu inasemaa maiti imekuwa na NtuAcha maneno mengi. Njoo ushangilie Chelsea. Inaua MTU.
Hivi hii timu iliyowachabanga magoli ndio timu inayoburuza mkia??Tuna chomoa hizo kisha tunawaongeza kimoko tuu
Hawa watamaliza ligi na magoli mengi mnoNaona washindani wa Man United mwaka huu ni Man City
Sijui kama man city ana mshindani mwaka huu, hasa kwa kiwango tulichoonesha leoNaona washindani wa Man United mwaka huu ni Man City
Timu ilikuwa haijawahi kupata goli hata moja leo imepata mawili kwa vibondeTunashinda wabovu hao
Still to early to push the panic button! Let's wait for December when teams play in UCL, FA, LC and EPL games back and forth.Sijui kama man city ana mshindani mwaka huu, hasa kwa kiwango tulichoonesha leo