Aya umesikika....tuma salam kwa watu watatu.Manure ni timu mbovuuuu, mnajisifu kwa kucheza mazoezi ..........kwanza msimu huu mnajipima nyie ni wazuri kwa kucheza na timu gani labda?
na timu ya dada yakoManure ni timu mbovuuuu, mnajisifu kwa kucheza mazoezi ..........kwanza msimu huu mnajipima nyie ni wazuri kwa kucheza na timu gani labda?
mpuuziAya umesikika....tuma salam kwa watu watatu.
I mean huyo jamaa ni mpuuzi, yeye muda wote anaiwanza Utd anaacha kupambana na timu yake mbovumpuuzi
Rashford ni mchezaji mzuri anajituma nampenda,lakini A.Martial huu msimu ameonesha sababu za team kujengwa kupitia yeye lazma awe na uhakika wa namba
Hazard anakipi cha ziada zaidi ya hype anayopata EPL na dribbling zake?Haya mapenzi kwenye soka bhana yana rahaa yake eti Mkhytarian.....leo kawa zaidi ya Hazard duuuu......!!!!!
We nawe unasikitisha!!!, kw hiyo nyie kw vile kwenu wote mpo wakike, unafikiri kila unayemuona nae ana dada ...........na timu ya dada yako
Taja timu uliocheza nayo kuzibitisha nyie sio wabuvu, nyie ni sawa bado mpo pre-season. ........ kwayo muache kusimama mbele za wanaume kama sisi na kuanza kujitapa.I mean huyo jamaa ni mpuuzi, yeye muda wote anaiwanza Utd anaacha kupambana na timu yake mbovu
na timu ya dada yako
mpuuzi
Unajichoresha!! ........ au ndio unataka kutuonyesha na ww unakipaji cha kubishana?Hazard anakipi cha ziada zaidi ya hype anayopata EPL na dribbling zake?
Jipe moyo tu! nyie endeleeni kucheza bonanza mje kujisifia humu, man city yupo pale juu ameshacheza na liva, chelsea yupo pale ameshacheza na tot na arse888, we upo pale umecheza na westham alafu unajicfia ..........Mnajibishana nae bure tu mnapoteza muda ili uchukue ubingwa unatakiwa ushinde mechi nyingi sio mechi 4 tu za liverpool,chelsea na man city or arsenal na spurs hao hata ukipata point 5 hawa wadogo ukawafunga wote tayar champion msimu uliousha liverpool kachukua point nyingi kwa wakubwa halafu ndoo kabeba chelsea sasa kuna mantiki hapo?
Jipe moyo tu! nyie endeleeni kucheza bonanza mje kujisifia humu, man city yupo pale juu ameshacheza na liva, chelsea yupo pale ameshacheza na tot na arse888, we upo pale umecheza na westham alafu unajicfia ..........
Next game Crystal Palaces the itawakosa Loftus Check,Zaha, Benteke & Fosu Mensah hii mechi tukicheza vizuri tutapata ushindi mnono