ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,145
afadhali babu fergie hakumnunuaHazard kinachomponzaga hajawahi kuwa kwenye kiwango bora misimu mi 3 au mi 4 mfululizo anapanda na kushuka mfano msimu ulioisha alikuwa vizur sana lakin wa nyuma yake hovyo mourinho alipochukua ubingwa alikuwa fom pia ndo mana anashindwa kuingia top 3 kupambana na kina mess anamuacha neymar tu msimu huu namuona kaanza kuzingua na akizingua.
️ Liverpool FC
Tottenham Hotspur
