Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu mnamuonea sana huyu jamaa kipind cha van gal alisimama yeye na blind walifanya vizur sana pia kama sikosei alijitoa mhanga kumdaka miguu kati ya panchion au bolazie wa crystal palace fainal ya Fa alikuwa anenda kutufunga smalling alikula umeme ila ndoo tulibeba lile goli lingefungwa mchezo ulikuwa unaisha.

Kwa kipindi kile sawa ila kwa sasa ndio hivyo, hatumlaumu ila kiwango ndio kinamtupa mkono toka arudi kwy majeruhi amekua anayumba sana.

Huwezi nambia kwa game kubwa Bailly na Rojo wakiwa fit yeye atacheza kwa sasa.
 
gary-neville-manchester-united-title-change_z84cs81o02l11hlc6y03g2i7k.png
 
Back
Top Bottom