Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Duuh voda wahuni mb 2114 jana zimeshindwa maliza pre match analysis+dk 90 za mech
wizi wa karne huo nakumbuka mwaka mb300 tu kupitia halotel zilitosha kumaliza mechi nzima leo hii sijui hali ipoje huko.... jana nimeweka mb600 tigo nimeangalia kipindi cha pili tu zimekata bora ligi ianze nilipe jelo niangalie mpira kuliko kununua vocha ya 2000 na bado mechi siimalizi yote

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Kuna watu wanaishi kwa kukalili,huyo jamaa anayesema Fellain alizingua ukimuuliza alizignua wapi hatokupa jibu sahihi. Fellain anapiga mwingi na anajituma sana,ila tatizo mistake zake zinaonekana sana kuliko za wengine. Yani akizngua Fellain hakuna anayemezea,kila mtu lazima aongee.
yeah n kweli, ila jana fella hakuwa aggressive, sijui coz ni pre-season
 
wizi wa karne huo nakumbuka mwaka mb300 tu kupitia halotel zilitosha kumaliza mechi nzima leo hii sijui hali ipoje huko.... jana nimeweka mb600 tigo nimeangalia kipindi cha pili tu zimekata bora ligi ianze nilipe jelo niangalie mpira kuliko kununua vocha ya 2000 na bado mechi siimalizi yote

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
yaani kwa tigo mbona voda anakaa, tigo n next level kwenye ishu za kupiga mb za watu+dk
 
Kipindi cha mapumziko, Woodward na Pérez walibadilishana 'gifts'. Wakati Pérez akitoa jezi ya Real Madrid iliosainiwa na wachezaji pamoja badge ya timu, bwana Woodward yeye alimpa 'silver plaque' ikiwa na tarehe ya mchezo.
Smile la Woodward linafurahisha sana
View attachment 549047View attachment 549048 View attachment 549049
Ed woodward alipaswa amkabidhi perez zawadi ya fax machine nahisi ingelikuwa bora zaidi
fax-machine.png
 
CHRIS SMALLING anakaribia kujiunga na club ya WEST BROM kwa ada ya pound millioni 10.

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
Hii habari so njema. Hawa akina Baily na Lindolf tukicheza na timu zenye wachezaji mithili ya Suarez au Neyma watpigwa red wote.Hawana utulivu, ni mawenge sana na wanatumia nguvu bila uwiano mzuri na akili.
Mi nimecheki tu game nimetumia mb 1000 hazijaisha natumia hadi saivi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manchester United wapo tayari kuwapa PSG pauni milioni 70 ili kumsajili kiungo Marco Verratti. (Daily Express)

Marco Verratti amesema chaguo lake la kwanza ni kwenda Barcelona, ingawa pia yuko tayari kwenda Manchester United. (Express)
 
Juventus wameacha kumfuatilia kiungo wa Chelsea, Nemanja Matic, 28 na hivyo kutoa mwanya kwa Manchester United kukamilisha uhamisho wake. Chelsea wamesema wanataka pauni milioni 40 ambazo Juve hawapo tayari kutoa. (Telegraph)
 
Back
Top Bottom