Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FB_IMG_15008479339452717.jpg
 
Official: Eric Bailly has been banned for three matches by UEFA for his red card against Celta Vigo. [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
Hivi wanatutaka nn lakini toka msimu uliyopita mpaka Leo tena why?
UEFA nao hawajielewi sidhani Kama hiyo kadi angepewa Mchezaji wa Madrid ingefanyakazi.... wamemuona kwenye friendly match kuwa hanawurafiki wakaona bora wampe ban... lakini pamoja na hilo lazima tuwanyoe
 
UEFA nao hawajielewi sidhani Kama hiyo kadi angepewa Mchezaji wa Madrid ingefanyakazi.... wamemuona kwenye friendly match kuwa hanawurafiki wakaona bora wampe ban... lakini pamoja na hilo lazima tuwanyoe
Nakupinga.
Kumbuka hata pogba alitoka na kadi juventus na zikapelekea kufungiwa mechi za mwanzo za EPL kwahyo wapo sahihi uefa kutoa adhabu hiyo, kwahyo tunahesabu mechi ya fainali ya europa ndio ya kwanza na kisha super cup inakuwa ya pili.
 
UNITED SIGN KEEPER

Manchester United have signed goalkeeper Theo Richardson.

The 18-year-old joined the club on trial earlier this year and impressed for the Under-18s as well as being named on the bench for the U23s' penultimate game of the season.

United have not announced the signing, but Richardson now has a profile on the club website, which reads: "Signed on a permanent contract after arriving on a short-term basis towards the end of the 2016/17 season.

"Formerly with Leeds United, he produced some outstanding performances when thrust into the Reds' Under-18 team to earn a deal over the course of the summer."

Source SKYSPORTS
 
Paris Saint-Germain wamewapa Barcelona kiungo Marco Verratti pamoja na pauni milioni 90 juu, ili kumsajili Neymar. (Diario Gol)

Hii ni akili au matope?
 
Hawa dawa yao nyingine ni kuwalopokea tu bei tutayojiskia. Manake sahz wachezaji wanafika hadi thamani ya £ 200 mil. Sisi tukiwaambia hata 145 wakilia sana tuwapunguzie hyo 5 tuone kama watarudi kama watu walivyokariri real wakiamua jambo hawashindwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tips kutoka kwenye interview ya Mourinho iliofanyika muda mfupi uliopita.

Mourinho: "I'm targeting 2 positions, a midfield player & an attacking player through the wings. I never speak about other club's players."

Mourinho: "I don't know honestly, Ed is in control, he did Lindelof & Lukaku, he knows I would like two more players."

Mourinho: "I wait for good news & for me good news is to have the players or player as soon as possible. I'm calm."

Mourinho: "If my club is not able to do two players but just one then I will accept that as a consequence of the market now."

Mourinho: "I am happy with my squad but I would like to have two more players, I've never hidden that."

Mourinho: "A midfielder would give us balance & more options."

Mourinho: "Another attacking player through the wings can give us more attacking options."

Ningependa sana apewe hao wachezaji wawili anaohitaji ili tusije kuwa na kisingizio mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom