Namuona kama mzembe hivi, maana ule mpira angekuwa bailly angeuwahi kabisa,bila tatizo!uyu lindelof nae ajirudi....most of the fans wanamlalamikia yeye ndo chanzo cha magoli matatu kwenye izi pre- season matches.
GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app

hii partnership ni majangaNamuona kama mzembe hivi, maana ule mpira angekuwa bailly angeuwahi kabisa,bila tatizo!
Smalling naye ni tatizo jingine! Ukuta wake ni wakilofa sana!


Zile penati hapana aiseeinatakiwa kuanzia kesho asubuhii mazoez ya pnalt
Ndio umeziona Leo sasa, zile penalty sio mchezo
yaan inaoneka huwa ishu ya penalt haifanyiwi kaz kabsa pale.hahahaZile penati hapana aisee
Itabidi waanze kufanya mazoezi ya kupiga penaltyyaan inaoneka huwa ishu ya penalt haifanyiwi kaz kabsa pale.hahaha
sema ilikuwa ni kichekesho flan hivi pia
kwa kweli De Gea yupo juu.De Gea![]()
nabidi nitafute hizi penalty mana kila mtu anazisema vibaya.Itabidi waanze kufanya mazoezi ya kupiga penalty
Verati so ndo yule jamaa aliyejitangaza kuwa ni mshumaa?? Abaki hukohuko, asituletee balaah!PSG wanamtaka Martial ahusishwe katika mkataba wa kumtaka Verratti
Zitafute uziangalie aisee zile, penalty mbovu Sananabidi nitafute hizi penalty mana kila mtu anazisema vibaya.
Vijana wamechangamka hata waqt wa SAF ilikuwa hata kama mmefungwa lakini juhudi mnaziona au game inakataa sasa hayo mambo tuliyapoteza tukawa wanyongeOndoa shaka msimu huu hautajuta kabisa