Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huku pametutia hasira wengi tu upande wa usajili siwezi kushangaa hata rutashubanyuma akiamua kupiga kimya sawa tu.
 
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAPILI 23.07.2017
Barcelona wapo tayari kutoa pauni milioni 80 kumtaka Philippe Coutinho, 25, kutoka Liverpool. (Sunday Mirror)

Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi, 30, ameiambia klabu yake kumsajili mshambuliaji wa Juventus Paulo Dybala, 23. (Don Balon)

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp amesema Coutinho “ametulia” Liverpool baada ya klabu hiyo kuzungumza naye kufuatia hatua ya Barcelona kumtaka. (ESPN FC)

Liverpool hatimaye wamefikia makubaliano na RB Leipzig ya pauni milioni 75 ili kumsajili Naby Keita. (Winner Sports)

Meneja wa Arsenal amekanusha taarifa kuwa Alexis Sanchez, 28, anakaribia kuhamia Paris Saint-Germain kwa pauni milioni 70. (Standard)

Alexis Sanchez anataka mshahara wa pauni 500,000 kwa wiki kutoka Paris Saint-Germain, huku akikaribia kuhamia Paris. (The Mirror)

Liverpool na Arsenal wameonesha dalili za kutaka kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid Lucas Vasquez. (Diario Madridista)

Chelsea wanapanga kuzungumza na Arsenal kuhusiana na Alex Oxlade-Chamberlain, 23. (Sky Sports)

Chelsea wanamfuatilia winga wa Montreal Impact Ballou Jean-Yves Talba, baada ya Didier Drogba kuwaambia kuhusu mchezaji huyo. (Sun)

Manchester United wana uhakika wa kumsajili kiungo wa Chelsea Nemanja Matic, 28, baada ya kumkosa Eric Dier, 23, wa Tottenham. (Guardian)

Mipango ya Manchester United kutaka kumsajili kiungo wa PSG, Marco Verratti, 24, kwa pauni milioni 60 imesitishwa kwa muda baada ya PSG kusema inamtaka Anthony Martial, 21. (Sunday Mirror)

Jose Mourinho amesema “ana uhakika” David de Gea atabakia Manchester United msimu huu, baada ya Real Madrid kushindwa kutumia nafasi ya kumsajili kipa huyo. (Sky Transfer Centre)

Manchester United sasa wamemgeukia kiungo wa Bayern Munich, Arturo Vidal, wakati wakitafuta kiungo mpya. (Daily Star)

Beki wa Manchester United Matteo Darmian, 27, amesema haendi popote licha ya taarifa kumhusisha na kurejea Italy. (Press Association)

Real Madrid wametengeneza orodha ya washambuliaji inayowataka, ikiwa watamkosa Kylian Mbappe. Miongoni mwao ni Marcus Rashford wa Manchester United, Pierre Emerick-Aubameyang wa Borussia Dortmund na Timo Werner wa RB Leipzig. (Diario Gol)

Real Madrid watamsajili mshambuliaji wa Ajax Kasper Dolberg pamoja na Domenico Berardi wa Sassuolo, iwapo watamkosa Kylian Mbappe. (Marca)

Real Madrid wamewaambia Monaco watawapa Karim Benzima kama sehemu ya mkataba wa kumsajili Kylian Mbappe. (The Sun)

Chelsea wamemuulizia winga wa Inter Milan Antonio Candreva, ili kuogeza ushindani Stamford Bridge. (the Sun)

Kiungo wa Manchester City Kevin de Bruyne, 26, amesema ana matumaini klabu yake itanunua mabeki wengine kadhaa msimu huu. (Manchester Evening News)

Habari zilizothibitishwa tutakujuza mara zitakapothibitishwa. Kwa orodha kamili ya wachezaji waliokamilisha rasmi usajili bofya link hii: Transfers - July 2017
Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. Uwe na Jumapili njema.
 
BREAKING:WHEN MORINHO WAS ASKED ABOUT RASHFORD MOVE TO MADRID THIS WAS HIS RESPONSE

MORINHO:FOR MHE THE DEAL Z NOT POSSIBLE COS RASHFRD STILL HAS ALOT TO LEARN BH IF THEY STILL WANT HIM IT'S SIMPLE
500£+RONALDO +ISCO +THEIR STADIUM N IF POSSIBLE FIORENTINO PEREZ WEL WORK FOR MAN U FOR SOME YEARS WITHOUT BEING PAID
HE DIDN'T EVEN FINISH WHEN HE WAS REMOVED FROM DE INTERVIEW MEANING HE HAD ALOT TO SAY
 
Hahahahaha work without payment damn mourinyo is something else
 
BREAKING:WHEN MORINHO WAS ASKED ABOUT RASHFORD MOVE TO MADRID THIS WAS HIS RESPONSE

MORINHO:FOR MHE THE DEAL Z NOT POSSIBLE COS RASHFRD STILL HAS ALOT TO LEARN BH IF THEY STILL WANT HIM IT'S SIMPLE
500£+RONALDO +ISCO +THEIR STADIUM N IF POSSIBLE FIORENTINO PEREZ WEL WORK FOR MAN U FOR SOME YEARS WITHOUT BEING PAID
HE DIDN'T EVEN FINISH WHEN HE WAS REMOVED FROM DE INTERVIEW MEANING HE HAD ALOT TO SAY
Daaaahhhh nimecheka leo hatari....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mo hatari
 
Kama hii taarifa yako ni kweli,basi ni dhahiri man utd na Madrid hawatakuja kuuziana wachezaji endapo mou ataendelea kuwa meneja wa united.

Binafsi nimeipenda hali hii maana Madrid na man utd ni vilabu vikubwa vyenye pesa ya kutosha,lakini Madrid wanaigeuza man utd kama sehemu ya kuokota wachezaji wetu muhimu ilhali klabu bado inawahitaji. Matokeo yake huwa tunapwaya kiushindani.

Sasa hivi ujio wa mourinho utakomesha ujinga huu labda tu kama mchezaji husika atalazimisha kuhama. Ingawa bado anaweza kuzuiwa kama mkataba wake utakuwa unamlazimu aendelee kuwepo.

Mchezaji kutoka man utd kwenda Madrid inatupotezea heshima kana kwamba man utd ni timu ndogo sana ukilinganisha na Madrid. Namsapoti mourinho kwa zuio la wachezaji wakubwa kuihama klabu ikiwa bado wanahitajika OT.

#ggmuthereddevils#

Propaganda za mashabiki hizo.
 
Back
Top Bottom