mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,696
Ndo na mm natumiaga ila inakula sana MB.!!!Mkuu kama una mb tumia mobodro
Ndo na mm natumiaga ila inakula sana MB.!!!Mkuu kama una mb tumia mobodro
Mi natumia voda mb 800 namaliza game yote
Nyingi sana hizo..
Download periscope toka goole play then install baada yaapo utakuwa una search game nakuangalia murua kabisaJaman nataka kuchek gem kwenye smartphone yangu je nifanyaje ...please naombeni msaada
Nenda google seachHio icon ya mobdro ikoje jaman na mm nichek online
mobdro apkYeah mkuu hapo ni mb zako tu na network iwe strong ukiwa na simu ya kioo kikubwa kidogo unaenjoy kama kawaida
Download mobdro apk, au mobikora apk( hii ya kirabu) zote hizi unazigoogle au ingia playstore shusha app ya startimes nao pia wanarusha livestream ya game yetu.Jaman nataka kuchek gem kwenye smartphone yangu je nifanyaje ...please naombeni msaada
Duuu hapana kwa kweli.kwa maoni yangu morinho amwachie Martial tuchukue jembe Varetti