Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Victor itabidi aulizwe alikuwa anataka kuonyesha maajabu gani ile penalty yakejaman hizi penalt za leo ni mbaya mbayaa
yaan sjawahi ona
Victor itabidi aulizwe alikuwa anataka kuonyesha maajabu gani ile penalty yakejaman hizi penalt za leo ni mbaya mbayaa
yaan sjawahi ona
Fellain kapiga mwingi broNaomba sana Mourinho ampe sana nafasi huyu dogo Perreira..maana ni fundi ana pasi za macho halafu bado mdogo...lakini sio huyu fellain hamna kitu mule...
kipindi cha pili cha pili pale tumepoteana kweli.
Hutu kijana ni azina kubwa sana . alichowafanya wale mabeki Mungu anamuona
Fellain kapiga mwingi bro
Nahisi walilala na viatu waleHutu kijana in azina kubwa sana . alichowafanya wale mabeki Mungu anamuona
nimeshaziangalia .Zitafute uziangalie aisee zile, penalty mbovu Sana
Nipe mrejesho sasa,nimeshaziangalia .
alitaka amwamishe kipa kama alivyofanya blind!!Victor itabidi aulizwe alikuwa anataka kuonyesha maajabu gani ile penalty yake
kwa maoni yangu morinho amwachie Martial tuchukue jembe Varetti
Kama Neymar alivyowafanya JuveUngeshangilia goli kwanza mengine baadae maana kawakusanya watu watatu pale

Mkuu umesahau na arsenal team yao ikicheza hamna update zozote wanazoleta sijui hawaipendi yani kwenye jukwaa lao utakuta post ya mwisho kupostiwa ni 5 days agoKinoma aiseee mashabiki wa man u nawakubali mpo macho hamlali zingekuwa ni zile team zingine sijui chelshit washalala hahahaha

Pereira yuki vizuri sana huyo dogo. Ila sio kila tukihisi timu imecheza ovyo basi tunamuangishia zigo FellainNaomba sana Mourinho ampe sana nafasi huyu dogo Perreira..maana ni fundi ana pasi za macho halafu bado mdogo...lakini sio huyu fellain hamna kitu mule...
kipindi cha pili cha pili pale tumepoteana kweli.
Big fella ana damu ya kunguni tu jamani lakini huwa anafanya kazi yake uzuri mou sio mjinga kumng'ang'ania hata mimi nauona umuhimu wake kisha jana nimemuona kama kasi imeongezeka vilePereira yuki vizuri sana huyo dogo. Ila sio kila tukihisi timu imecheza ovyo basi tunamuangishia zigo Fellain
Sababu ya Ile chenga ya martial au hahahahaNaskia carvajal amepata majeraha ya kiuno ....kuna uwezekano wa kukosa uefa supa cup
Kuna watu wanaishi kwa kukalili,huyo jamaa anayesema Fellain alizingua ukimuuliza alizignua wapi hatokupa jibu sahihi. Fellain anapiga mwingi na anajituma sana,ila tatizo mistake zake zinaonekana sana kuliko za wengine. Yani akizngua Fellain hakuna anayemezea,kila mtu lazima aongee.Big fella ana damu ya kunguni tu jamani lakini huwa anafanya kazi yake uzuri mou sio mjinga kumng'ang'ania hata mimi nauona umuhimu wake kisha jana nimemuona kama kasi imeongezeka vile
Nakubaliana na wewe katika hiliKuna watu wanaishi kwa kukalili,huyo jamaa anayesema Fellain alizingua ukimuuliza alizignua wapi hatokupa jibu sahihi. Fellain anapiga mwingi na anajituma sana,ila tatizo mistake zake zinaonekana sana kuliko za wengine. Yani akizngua Fellain hakuna anayemezea,kila mtu lazima aongee.