Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ed woodward alipaswa amkabidhi perez zawadi ya fax machine nahisi ingelikuwa bora zaidi
fax-machine.png
FB_IMG_15008957601944452.jpg
 
Halafu Bayern walimuwahi faster sana kabla hata dirisha halijafuguliwa. Kilichompata huko anajua mwenyewe. Kama vipi aje tu, the kid got talent.
Kwakuwa wakala wa Jose(special one) na Renato junior luz sanches ni mendes lolote laweza kutokea.

Bado bwana mdogo sana miaka 19, Defensive midfielder.
e0beef402702907f48275b1da1a813ea.jpg
83d2992b9a8b5cb4509401617979b85d.jpg
 
Eric Bailly has been banned for three matches by UEFA for his red card against Celta Vigo.

Eric Bailly will be suspended for the UEFA Super Cup against Real Madrid and the first Champions League game of the season.
 
Official: Eric Bailly has been banned for three matches by UEFA for his red card against Celta Vigo. [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
Hivi wanatutaka nn lakini toka msimu uliyopita mpaka Leo tena why?
 
Hiyo inaonyesha tetesi za usajili, yupi anauwezekano mkubwa wakuhamia klabu moja kwenda klabu nyingine,huwa inatolewa kila siku,kiladakika mambo yanapokuwa mambo .

Mfano,chicharito hapo inaonesha kutoka Bayer kwenda west ham united.
Nimekupata mujarabu
 
Back
Top Bottom