Naliangalia soko lilivyo kipindi hiki,najaribu kumuelewa Mourihno juu ya usajili,najaribu kuyasoma mawazo ya woodward juu ya kutimiza mahitaji ya Kocha.
Kiukweli soko limekuwa na maswali mengi kipindi hiki,thamani ya wachezaji zimeongezwa maradufu kuliko hali halisi na uwezo wa mchezaji, kumekuwa na hali ya kukumoana katika soko baina ya timu,ndio hali ilivyo katika soko la sasa.
Nafurahishwa na uwezo na akili ya Mourihno katika kufanya maamuzi,kusajili mshambulaji na beki wa kati ilikuwa ni lazima kufanya hivyo kwa gharama Yeyote ile,na ndio mana kati ya Vyote tumetimiza haya mahitaji ya lazima.
Now tumebikiza kusajili Kiungo mmoja mkabaji,Winger na ikiwezekana Mshambuliaji mwingine,lakini kwa hali ya soko lilivyo na tukikaribia kuanza kwa msimu mpya sioni tukisajili mchezaji mwingine Zaidi ya kuhamia Plan B.
Sasa tunaona Majukumu mapya ya Adreas Pereira katika kikosi chetu,tuna mapungufu katika kiungo cha ukabaji,hivyo Mou anamuandaa Pereira kwa ajili ya kuziba pengo hili.
Tunaona kwa Tuanzabe pia kwa ajili ya kuwa Mrithi wa Valencia.
Tunaona majukumu Mapya kwa Lingard kwa ajili ya kuziba pengo la upungufu wa Mawinger endapo tutashindwa kusajili Winger.
Same as kwa mshambuliaji wa usaidizi,tunaona kasi Mpya ya Rashford.
Bado niaona nafasi ya Ibramovic kurudi kwa ajili ya kusaidia ushambuliaji.
Kitu nnachopenda na kufurahishwa ni kwa Mou kunaza kutumia Plan B,kumbuka alishaandika Mpango wa kufuata na kutekeleza Falsafa ya Sir Alex,ya kuwafanya wachezaji wa kawaida na chipkzi kuja kuwa World Class Player.
So ni Msimu wa Rashford, Lingard,Pereira na Lukaku huku wakisaidiawa na akina Herera,Pogba.
Ni wakati wa kumtengeneza Scholes Mpya,Roy keen Mpya n same as.
Sent using
Jamii Forums mobile app