Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 740
Ndo maana hajarikover akiwa fit atachezeshwa na kocha mwenyewe aamueBeki za kati pale naona wangetengeneza combination ya rojo na bailly..rojo yupo makini sana,na pia anakamia kweli kweji na anajiamini sio kama smalling na jones..huyu lindelof bado kwa kwel tusiwe wanafki..Rojo anarecover from injury ningependa akiwafit apewe nafasi acheze na bailly pale kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna akili hata za kuvukia Barabara!Kwa nini hachezi game zote? Tusing'ang'ane hachezi 90 minutes tuu, kwa nini hachezi 90min? Hilo Lukaku km angekuwa anacheza Juve??
Sent using Jamii Forums mobile app
Goli la lukaku n pogba af goli la rashford assist n mickMikhi
WEJAMAA WA CHELSEA UNAPENDA SIFA NDIO MAANA NACC TUNAVAMIA NYUZI ZENU MNAANZA KULIA LIAHakuna akili hata za kuvukia Barabara!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Lukaku assist= Pogba
Mkuu,Kweli mkuu,dogo huwa anauwezo wa kudrible kwa kasi mpira kwa umakini kuliko mchezaji mwingine,ukimwacha mikhi..sema watu huwa wakimchukia mtu huwezi kulazimisha wamwelewe..ila my side jesse anadeserve kupata nafasi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisaGoli la lukaku n pogba af goli la rashford assist n mick
Kumuangalia mkhityaran akicheza mpira ni burudani kuliko kuangalia live performance ya nicki minaj akiimba wimbo wa anaconda.Naona man utd fansa wanawasifia sana lukaku rushford .....ila jaman mmesahau hawa wawili Micki na lingard ....kwenye pre season wame onesha kiwango kikubwa sana ......
Lete vitu lete vitu bwana Ed!!![]()
Anatufariji au unahic atakuwa Nani?
Ivo iyo ni official Acc ya ed.?Lete vitu lete vitu bwana Ed!!
Hakyanani mwaka huu tutasambaza vilio uropa nzima..
Mashetani wekundu hatushitui kijoti tunakuja moja kwa moja...nani wakumutuliza Shetani...?
Sisi ni mashetani wekundu.