Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
Rashford msimuu huuuu
Mkuu njoo usalimie kidogo naona umepotea sanaUngekuwa na akili hata ya kuvukia Barabara tuu ungegundua kitu, hizo goli 40 kwa miaka 4 amecheza mechi ngapi??? Na huyu romelu likuku amecheza mechi ngapi kwa hiyo miaka 4????
Pogba wa tz nchi imekushinda!

Hahahahaha POVU leo limegoma sijui anatumia MAJI YA MVUA?Mkuu njoo usalimie kidogo naona umepotea sana![]()
![]()
![]()
Sasa mtu ambaye hapati nafasi ya kucheza si ina maana hajui mkuu,hiyo akili ya kuvuka barabara umeshindwa hata kuitumia? Madrid huchezi na umezungukwa na wachezaji hodari bado wafunga hizo goals,na Juve je? Chelsea ni timu ndogo so atapata nafasi tu usijali mkuu..[HASHTAG]#GGMUTD[/HASHTAG]Ungekuwa na akili hata ya kuvukia Barabara tuu ungegundua kitu, hizo goli 40 kwa miaka 4 amecheza mechi ngapi??? Na huyu romelu likuku amecheza mechi ngapi kwa hiyo miaka 4????
Pogba wa tz nchi imekushinda!
??? sa ilikuwa nn ?Hiakuwa mechi ndio maana mmewafunga tofauti na hapo mngeoga sana tu


boxing au ?Hiakuwa mechi ndio maana mmewafunga tofauti na hapo mngeoga sana tu
ha ha ha ha hizi akili hizi hao ndo tunaita haters hakuna zuri litafanyika akasifia kwao kila kitu ni kibaya tuu.....
Hiakuwa mechi ndio maana mmewafunga tofauti na hapo mngeoga sana tu



dah people! Tungefungwa je? Ingekua mechi sema nini umemuona Lukaku?dah people! Tungefungwa je? Ingekua mechi sema nini umemuona Lukaku?
Mkuu nani kasema tatizo lukaku? Nmeuliza umemuona Lukaku? Kwa maana nyingine umecheki mechi? Au you just hate for no reason.Wala tatizo sio Lukaku, tatizo ni nyinyi hapo
Kwanini asivunje wakati ana lundo la wachezaji wa kumlisha mipira?Mimi huwa sipendi maneeeeno. Msimu huu Lukaku anavunja rekodi ya idadi ya magoli kuwahi kufungwa EPL kwa msimu.
atakuwa anatumia maji ya chumvi.Hahahahaha POVU leo limegoma sijui anatumia MAJI YA MVUA?