Ngoda95
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 2,690
- 4,919
Can't wait aisee league ianze sasa.. Ila tungempata winga mmoja Mwenye nguvu atakayekuwa anafanya backup plan kurudi nyuma na kupandisha mashambuli alafu awe na pass accurate kikosi kitarotate vizuri sana.Kwanini asivunje wakati ana lundo la wachezaji wa kumlisha mipira?
Yeye kazi yake ni kusukumizia golini.