Kwa nini hachezi game zote? Tusing'ang'ane hachezi 90 minutes tuu, kwa nini hachezi 90min? Hilo Lukaku km angekuwa anacheza Juve??Ungekuwa na akili hata ya kuvukia Barabara tuu ungegundua kitu, hizo goli 40 kwa miaka 4 amecheza mechi ngapi??? Na huyu romelu likuku amecheza mechi ngapi kwa hiyo miaka 4????
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Jamiiforums mobile version inagoma ku-upload "MP4" fileTuwekeeni magoli tuone basi wadau
Yaa pale ndoutafauti unapokuja na wenginempira aliofunga lukaku ulikuwa unatoka nje kabisa lakini kaweza kuukunja ukaingia golini vizuri, great lukaku!
️
️MANCHESTER CITY Is A Small Club.