mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,004
Kweli premier league longolongo nyingi (yaani kama waingereza walivyo vile) .. kumbe hamna kitu tu!
Kwani spain ukitoa Barca ni timu gani nyingine yenye kiwango kizuri?
Kweli premier league longolongo nyingi (yaani kama waingereza walivyo vile) .. kumbe hamna kitu tu!
Arsenal A imeshinda ama umesahau... Uwanja wao waache wajidai leo...
Haya sasa kwa leo naishia hapa sasa..
Soma posti yangu yote we farisayo,we umeona hizo mbili tu?Nimetaja zaidi,shirikisha.Ni makosa kulinganisha ligi ya spain na england kwa reference ya Barca na madrid tu. La Liga ni ligi ya timu mbili tu wakati england kuna timu nyingi
Kweli premier league longolongo nyingi (yaani kama waingereza walivyo vile) .. kumbe hamna kitu tu!
Bahasha kaka khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kumbe na nyinyi mnatoaga!!! Ila kafungu kenu huwa kadogo
It just gets worse for Ryan Giggs: Barcelona outplay Manchester United to win Champions League
By Rob Cooper
Read more: Champions League final: Barcelona outplay Man Utd to win fourth European Cup | Mail Online
Mkuu ngoja nikuulize swali ebu nitajie timu gani Europe ambayo ilikuwa na uwezo wa kuifunga Barca leo?...Subiria extra time bana, hutaki kuangalia penalties?
Man Utd si kama wanaorefusha pua wakifungwa
Mkuu ngoja nikuulize swali ebu nitajie timu gani Europe ambayo ilikuwa na uwezo wa kuifunga Barca leo?
Man Utd best team in England second best in Europe this season. Fact.
...Subiria extra time bana, hutaki kuangalia penalties?
Achana na hao Arsenal, wenyewe hata medali hawajapata!!...ila angalau wapunguze hasira na stress za timu yao leo!!..wabandike mapicha,wabandue na mwisho wakakojoe na kulala.....khe khe khe
Adui mwombee njaa si unajua tena!!..imeshakuwa historia!!
kwenye fainali hakuna mshindi wa pili. Kuna Bingwa tu, he he he!
Mbona leo umekuwa mmbea hivi jamani, lol...kwani kuna aliyekataa tumefungwa??!! rudi kulala bwana!!!!
halafu tumefungwa 10-0, sijui hukuangalia mechi mpaka mwisho!!lmao
Hamna sehemu nimesema mshindi wa pili katika comments zangu zote kwenye fainali hii..don't contradict yourself kamanda!!!..lmao
btw, kanisome hata thread ya 'fainal uefa'..hiyo ya mshindi wa pili labda umemsoma mtu mwingine. pole sana!!!