Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

aah poleni my dears..naona leo siyo kabisa!!..Bravo Barcelona, they deserve it!!..We did our best too!!
 
Pedro kafunga,bado Messi na Villa...Kati ya hao kuna atakayefunga msipokuwa makini wote watafunga.Poor you.
Naji quote mwenyewe,unaamini sasa farisayo,siko kiushabiki hapa ndugu yangu.Ndo ukweli,they are the bestest
 
Jinsi Man U walivyozidiwa,inapelekea kujiuliza kama shida ni kiwango cha soka cha EPL ya UK ni kidogo zaidi ya La Liga ya Spain,ama ni kiwango cha Man U ni finyu kiasi hicho dhidi ya Barca?Kuna mwenye jibu?
 
mkuu idimi, yaani hamshikwi tu bali mnatomaswa kabisa na barca. loh! hadi aibuuu!
 
Jinsi Man U walivyozidiwa,inapelekea kujiuliza kama shida ni kiwango cha soka cha EPL ya UK ni kidogo zaidi ya La Liga ya Spain,ama ni kiwango cha Man U ni finyu kiasi hicho dhidi ya Barca?Kuna mwenye jibu?

Sio timu zote Spain zina uwezo wa kucheza kama Barca
 
Hii ni AIBU......AIBU kuu...... maneno meeeeeengi kabla ya game..... Katika game yenyewe vitendo Mfu.......
 
Ili kulinda heshima,mashetani wekunda itabidi wafunge walau goli jingine iwe 3-2,maana 3-1 ni noma waungwana.
 
Sio timu zote Spain zina uwezo wa kucheza kama Barca

Na siyo timu zote za UK zinauwezo wa kucheza kama Man U,kwahiyo tatizo ni viwango vya ligi ama timu hizi mbili?Kwasababu Real Madrid kama sikosei waliwatoa Totenham Hotspurs,na Barca waliwatoa Arsenals.
 
mpira wa kufukuza sio mzuri...England waliadhirika ktk world cup
 
Haya ngoja tuishi kwa raha Mjini...kelele zote KWISHNEY.................................
 
Na siyo timu zote za UK zinauwezo wa kucheza kama Man U,kwahiyo tatizo ni viwango vya ligi ama timu hizi mbili?Kwasababu Real Madrid kama sikosei waliwatoa Totenham Hotspurs,na Barca waliwatoa Arsenals.
Ni makosa kulinganisha ligi ya spain na england kwa reference ya Barca na madrid tu. La Liga ni ligi ya timu mbili tu wakati england kuna timu nyingi
 
Back
Top Bottom