wajameni..hivi pale uwanjani walikuwepo wachezaji wa m. united?
Niliwatafuta sana lakini sikuwaona.
Nimependa grace ya Sir Alex alipompongeza Gordiola.Amekubali kuwa leo kakumbana na wachawi!
Tuko hapa sema unataka usaidiweje?nyinyi watoto wadogo mko wapi?
Wacha1 hivi hukuiona thread ya champions league au Barcelona mpaka uje humu utujazie picha za wachezaji wa Barcelona na marefa, basi tu ndio mbwembwe zenyewe?
nyinyi watoto wadogo mko wapi?
wajameni..hivi pale uwanjani walikuwepo wachezaji wa m. united?
Niliwatafuta sana lakini sikuwaona.
Nimependa grace ya Sir Alex alipompongeza Gordiola.Amekubali kuwa leo kakumbana na wachawi!
Mods hebu fungia Wacha1...au mwambie akachangie thread ya final..khe khe khe khe
Indeed huo ndiyo uzalendo...Rooney&Co nao walipiga makofi, in short Manure wana spirit nzuri!!...
Where's Chicharito?
Kaenda kuvalishwa medali
![]()
Vizee vya Manure .... ..... ....
Keshewafanya vibaya mara nyingi
Mods hebu fungia Wacha1...au mwambie akachangie thread ya final..khe khe khe khe
Achana naye katoka usingizini huyo