Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hehehe kusema kweli leo Manu walinikumbusha timu flani inaitwa Majimaji ya songea. Dah!
 
Mtabaki hivyo hivyo na mawazo ya bahasha watu wanancheza game bwana.
Kati ya mambo yote yaliyonichekesha leo ni jamaa mmoja kaja na kelele kuwa kwa timu zote za Uingereza Arsenal pekee yake ndio imeweza kuifunga Barca.
 
Kati ya mambo yote yaliyonichekesha leo ni jamaa mmoja kaja na kelele kuwa kwa timu zote za Uingereza Arsenal pekee yake ndio imeweza kuifunga Barca.

kuna ka ukweli hapo...
 
01_rio_1319160a.jpg

Ngebe zote leo kwishnei ....... ......
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kweli premier league longolongo nyingi (yaani kama waingereza walivyo vile) .. kumbe hamna kitu tu!
 
Kweli premier league longolongo nyingi (yaani kama waingereza walivyo vile) .. kumbe hamna kitu tu!

Bahasha kaka khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom