Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
msijali wapendwa nafikiri kifo chenu ni kizuri baba mt pep gurdiola amewabatiza kwa jina la messi na la iniesta na la xavi mtakatifu mmepata pia sakrameti ya kitubio na upako wa wagonjwa pia kwaya machachari ya barca the catalan imewatumbuiza sana kwenye misa nyie red devil hongereni kwa kuwa watiifu kipindi chote cha misa na kwenye mahubiri mmemsikia baba mt pep akiziasa timu zingine ziige uamuzi wenu