Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Back and forward on Griezmann

Screenshot_2017-05-28-16-26-18.png
 
Kean,Perisic,Bakayoko and Griezman.

So huu ndio utakuwa usajili wetu au?
Wanaweza kuwa hao hao ila nashangaa sana wachezaji wengine viwango vya kawaida ila release clause zao hazipimiki kabsa labda thamani ya pesa imeshuka world wide. Pia binafsi naona kama tutamsajili griz basi tuingie sokoni kuleta striker wa bei rahisi maana griz itamchukua muda ku-copy na beat la EPL, EPL kuna beki sura za kazi wao wanaamini bora punda afe mzigo ufike.

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
 
Jamaa akionesha jitihada anafit mapema sana kwenye ligi.
 
kwa sasa mu tunahitaji foward mwenye uchu na magoli japo kwa upande wangu naona kama de gea ataondoka itakua ni pengo kubwa sana na pengine sababu ya sisi kushindwa kayafikia malengo yetu katika msimu ujao
 
☆ PRIZES FOR EPL 2016-17 ☆

1.CHE £38m

2.TOT £36.1m

3.CITY £34.2m

4.LIVER £32.3m

5.ARS £30.4m

6.M.UTD £28.5m

7.EVERT £26.6m

PRIZE OF MONEY FOR WINNING
EUROPA CUP IS £27m....

☞☞☞ All In All EUROPA ni kikombe cha MBUZI mnapata sawa na EVERTON aliye nafasi ya 7
Pound 26.6 milion ni sawa na tsh 71, 820,000,000 na pound 27 million ni sawa na tsh 73, 460,000,000 kuna tofauti ya tsh 1 640,000,000...hiki ni kiasi kikubwa sana sawa na 2.3% ya pesa yote waliyoipata everton au ni 97% ya pesa waliyopata man u kwenye europa, je 0.97=1.0?
 
Pound 26.6 milion ni sawa na tsh 7,182,000,000 na pound 27 million ni sawa na tsh 7,346,000,000 kuna tofauti ya tsh 164,000,000...hiki ni kiasi kikubwa sana sawa na 2.3% ya pesa yote waliyoipata everton au ni 97% ya pesa waliyopata man u kwenye europa, je 0.97=1.0?
Hesabu za lasaba zinakushinda mkuu paund 1million ni sawa na tsh 3 bilion kwa exchange za saivi so paund 26 million haziwezi kuwa tsh 7 billion
 
Back
Top Bottom