Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
ubavu wa nini?ngoja nikuulize na wewe,Je ungekua Herrera na unatakiwa na Barca ungekataa?
Baadhi siyo wetu humuNingekataa,vitu anavyopata Herrera pale OT hawezi kupata akiwa Nou Camp. Heshima anayopewa na mashabiki wa United hawezi kupewa na wale wakatalunya.
Ila madrid adhabu yao kama hii ilifutwa,so anything can happen.Kesho alhamisi ndio hatma ya usajili wa Griezmann kwenda Manchester United itajulikana,so far Atletico Madrid walifungiwa na FIFA kusajili wachezaji kwa miaka 2 kwa kuvunja sheria kwenye usajili wa wachezaji chipukizi kwenye academy yao lakini walikata rufaa ambayo kesho ndio hukumu itatolewa(kuna tetesi adhabu haitafutwa wala kupunguzwa),Atletico wanaamini watashinda rufaa ili wamuuze Griezmann then wamsajili Alexander Lacazette au Diego Costa kuziba pengo lake.Griezmann alishakiri yuko tayari kuhama Atletico kwenda timu nyingine kushinda vikombe na tangu ametua Atletico hajawahi kuchukua kombe lolote
Antoine Griezmann ana release clause kwenye mkataba wake kama kuna timu itafikia dau lililowekwa klabu itamuuza (hii haina uhusiano na adhabu ya kutosajili)so far PSG & United ndio wamefika hilo dau lakini Griezmann aliwaambia PSG hana mpango wa kucheza Ligue 1 ikabidi PSG wahamie kwa Aubemeyang toka Dortmund
Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
Ngoja tuone. Ila nahisi United itaanza rasmi kusajili July.Tunawahitaji wote wawili. Belloti no. 9 na Griezmann no. 10
Kwa maana Griezmann anacheza behind Belloti.
Tungelikuwa na Belloti nina uhakika ubingwa ulikuwa wetu. He is a poacher in front of a goal with chances after chances we created this season he could have been top EPL scorer with 30+ goals
Kuna uwezekano mkubwa Zlatan asichezee United msimu ujao .
Wale wanazomea ovyo mkishindwa game moja tu yani hovyo kabisa mashabiki wa barcaNingekataa,vitu anavyopata Herrera pale OT hawezi kupata akiwa Nou Camp. Heshima anayopewa na mashabiki wa United hawezi kupewa na wale wakatalunya.