OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Kikosi chenu hakina uwezo Wa kucheza UEFA nyie ...mtaenda kutia aibu uko,bora mngebaki tu europa uko mtaitia aibu ligi yà uingereza.
Hahaha na Pogba pia.This Herrera guy is very fun...very likable. Ndiyo maana ni mmoja wa wachezaji wanaopendwa mno na fans Manchester.
huyu jamaa ni mtaalamu wa tactics!!Ahsante morinyyoooooo daaaaa nlikua naangalia kwa jicho moja aiseee
Mimi nataka mkiaDaaaaadeki, kesho siendi kazin, nikae home nipige shangwe la maana,
Na yule ng'ombe wao alietabiri tumempika supu![]()