Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijui goli litatoka wapi la kusawazisha wakati Lingard anarudi nyuma sana huku Martial anakabwa na mabeki wawili
 
Ngoja kwanza...hivi hawa waliovaa nyekundu ndo Man utd!??????


Very sad aisee...hadi Rooney naye yupo. Nlishaanza kujiuliza aliuzwa klabu gani hii? Kumbe ndo kiwango chenu kilipofikia. Sijui Mou anawapumzisha kujiandaa na europa!???
 
Back
Top Bottom