Huyu mou atakuwa anakula ugoro, huwezi kuwa na akili za namna hii nina uhakika hata Jamhuri Kiwhelo " Julio" hawezi kupanga kikosi kama hiki mbele ya chelsea
Watu huwa wanamshangaa Mou akilaumu wachezaji hadharani ila sababu wengine hawafanyi anachoagiza. Angalia kipindi cha kwanza timu imefuata tactics zake vizuri Chelsea hawaonani.
Bado 45mins Chelsea ni timu nzuri lolote linaweza kutokea.