Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,005
- 7,383
inawezekana pia tukapokezana tatizo kwenye timu naimani tutaca.yia kazi sana matatizo yoteMwakani mtakuwa na strike mzuri lakini nafasi kama Hizi azitokuwepoooo
inawezekana pia tukapokezana tatizo kwenye timu naimani tutaca.yia kazi sana matatizo yoteMwakani mtakuwa na strike mzuri lakini nafasi kama Hizi azitokuwepoooo
mimi sijaona kosa la martin keown, nadhani kama angeomba manchester united ashinde kesho basi ndio tulipaswa tumshangaeMartin Keown yule beki wa zamani wa Arsenal anatuombea mabaya eti tufungwe kesho mbili moja.
Anadhani itawasaidia Arsenal kusaka top four finish asilojua kesho dua lake Mwenyezi Mungu kaligeuza na Chelsea ndiye anafungwa mbili moja
Mata majeruhi hadi msimu unaishaLeo kama inawezekana Pogba upumzishwe.Ni mzito mno kuweza kwenda na kasi ya akina Hazard.Achezeshwe Mata 90 minutes
Hayaaaaaa twafaaa.Zlatan anahitaji sana mtu wa kupiga pass za mwisho,hatuna mtu wa aina hii.Na tuna rekodi mbaya na OT.Mata majeruhi hadi msimu unaisha
Unamaanisha nini kwamba "tuna rekodi mbaya na OT"?.Na tuna rekodi mbaya na OT.
Naona tukiwa away ndo tunashinda halafu OT draws ni nyingi sana (Sina data kamili).Wachezaji wanakuwa na presha pale OT,probably.Unamaanisha nini kwamba "tuna rekodi mbaya na OT"?
Okay, nimekuelewa. Kweli, hizi draws za pale OT zimetugharimu sana.Naona tukiwa away ndo tunashinda halafu OT draws ni nyingi sana (Sina data kamili).Wachezaji wanakuwa na presha pale OT,probably.
Mata yupi? Wapenzi vidumbaki bana!Leo kama inawezekana Pogba upumzishwe.Ni mzito mno kuweza kwenda na kasi ya akina Hazard.Achezeshwe Mata 90 minutes
Wayne Rooney muda wake umekwishaLeo ningekuwa karb na Mo ningemshauli kikos kiwe hivi
Beki Shaw,Baily, Rojo, Valencia
Kati Carrick, Pogba
Pembeni Miki na Ander
Fowad Rooney, Ibra
Subr Martial, Rashford, na wengne.
Lengo n kupposse mpra as possble na k score magoli meng then kipind cha pili tunazid kwachosha kwa kuwakimbza na Martial na Rashford.