Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo ningekuwa karb na Mo ningemshauli kikos kiwe hivi
Beki Shaw,Baily, Rojo, Valencia
Kati Carrick, Pogba
Pembeni Miki na Ander
Fowad Rooney, Ibra
Subr Martial, Rashford, na wengne.
Lengo n kupposse mpra as possble na k score magoli meng then kipind cha pili tunazid kwachosha kwa kuwakimbza na Martial na Rashford.
Hapo kati weka carrick n herrera huyo pogba weka nyuma ya ibra, rooney impe pemben awe ana switch na pogba namba 10
 
Rooney hajachoka kabisa, sema toka Mo aje hapati nafas ya kutokucheza dats y anazid kuchuja
Kama unakumbukumbu mechi za mwanzoni mwa msimu alikua kipaumbele sana.Uzuri wa mou akiona huendani na excpectation zake hakuonei aibu.Kuna wakati Rooney alikiri kabsa kiwango chake kibovu.
 
degea
valencia rojo bailly shaw
mikhi carrick herrera rooney
pogba zlatani

Hiki ndo kikosi cha ushindi sema mou ataendelea na akina fellaini wake halafu tukidraw anaanza kukasirika..
 
degea
valencia rojo bailly shaw
mikhi carrick herrera rooney
pogba zlatani

Hiki ndo kikosi cha ushindi sema mou ataendelea na akina fellaini wake halafu tukidraw anaanza kukasirika..
Unaweza ukaona fellaini akaanza na Herrera kama tutaingia na trick ya mipira ya juu
 
Nipo chifu. Game leo Rent Boys lazima mpigwe tu, maana hakuna namna.
Kiongozi

Hebu nipe hiyo approaching yako ya kunifunga?

Mimi najua unakufa vibaya maana sioni kile utafanya kunizuia
 
Leo utashangaa Damian anaanza badala ya Shaw..mchezaji ambaye anaweza pia kusogea mbele na kuleta madhara kwa timu pinzani,sema kwa sababu Mou ana jeuri atamweka Damian..
ananiboaga sana anapomuanzisha darmian coz darmian hana speed na attacking ability kama shaw
 
Evra alikuwa ni beki tatu,ila alikuwa anatoa assist kama hana akili nzuri na krosi zenye akili,ila sasa huyu damian, utafikiri kanywa gongo anavyocheza..
EPL inamsumbua amezoea serie A huko nqe muoga kupanda itqpendeza shaw akianza
 
Evra alikuwa ni beki tatu,ila alikuwa anatoa assist kama hana akili nzuri na krosi zenye akili,ila sasa huyu damian, utafikiri kanywa gongo anavyocheza..
eti kanywa gongo akifungisha leo tunakufa nae acha abaki nyuma kama centre bek
 
Hii game inahitaji watu wenye kasi ndio maana nikampendekeza Fosu mensah.. Yani mou asipomuanzisha fella sijui!
 
Back
Top Bottom