RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,785
- 129,599
Mechi ya FA cup kabla ya Herrera kutolewa Chelsea walishatulizwa.Sifa moja ya Mourinho ukimfunga mara ya kwanza next game anakuwa amejifunza so inabidi ujiandae sana,Game ya kwanza El Classico Pep alimfunga 5au 6 game zilizofuatia Pep alikuwa anapata tabu sana na msimu huu baada ya kufungwa na Pep na Conte mechi zilizofuatia amewapa wakati mgumu