Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Alipanda sababu ya ya Rostov walikuwa wanazuia muda mwingi kuliko kushambulia ndio maana anapanda panda sana mpaka kutoa cross
Sio Rostov tu game against Bournemouth Rojo alifunga goli
 
Kwa hiyo Mkuu umeona Sammata siyo Mtu kwani Baada ya UEFA Cup kikombe kinachofuata kwa ukubwa ni hicho kwa Ngazi za vilabu Sina uhakika ila Nadhani hata Zawadi zao hazina tofauti Kubwa.

Faida nyingine Mshindi wa Europa cup atakutana na Mshindi wa UEFA cup Hakuna timu Ndogo Ulaya mkuu

Totenham anasumbua pale Epl ila muulize UEFA pamoja na Europa cup kaishia wapi.

Acha tujipange kwa ajili ya hao Wabelgiji.
 
Tukishindwa kupanda hadi nafasi ya tano basi tujue top four imeshindikana au labda kwa maombi tu
 
Wenger Innn nasikia huko....NAFASI ya hiyo tunauziwa kesho inabidi wapambane tushinde jamani hope the boss Jose kaona GGM
 
IBRA adai alikataa ligi ya Uchina ili amwonyeshe kazi Pepe Guardiola aliyemwuuza

Screenshot_2017-03-18-17-30-04.png
 
Back
Top Bottom