Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Chelsea wanagonga golini kwao
Mkuu huyu jamaa hamna ki2 sema 2 uingereza ndo unaombeba kuwepo man u mpk leoHe is giving 120%! Hii sio simba na yanga utembelee nyota.
Kuna watu waliiponda sana line up ya leoFellaini leo kawakamata sana...tuache utani huyu jamaa ni kiungo bora sana
Ni maliFellaini leo kawakamata sana...tuache utani huyu jamaa ni kiungo bora sana
NDIO MAANA MOU ANAMPENDA SANANi mali