Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii game inahitaji watu wenye kasi ndio maana nikampendekeza Fosu mensah.. Yani mou asipomuanzisha fella sijui!
kabisa mkuu tumefikiri sawa ngoja confirmed lineup zitoke ila akiwa ameanza fosu mensah najua game itakuwa upande wetu
 
Naona kama kuna dalili ya Mo ku switch 3 4 3,
Kna dalili Ander herera , miki watokuwepo, Huku Young , Valencia, Baily wakitegemea kuanza nyuma
 
Duh Ander herrera! Sio kwa mechi ya leo labda aumwe.
 
Tatzo Mo anaweza kutaga kuiga formation ya Chelsea ambao syo nzr kwa Man, hatuna bek nzr, na viungo wakabaj
 
Naona kama kuna dalili ya Mo ku switch 3 4 3,
Kna dalili Ander herera , miki watokuwepo, Huku Young , Valencia, Baily wakitegemea kuanza nyuma
Pochetino na kosi lake ndo anamwezea konte kucheza hard copy ya huo mfumo sasa sijui kama ss tutaweza...
 
616d805b1bb6712d90de647efe8ad7fd.jpg
 
Back
Top Bottom